Naona wanashindana, mmoja misifa mwingine mtandaoni. Ngoma draw.Ni mbunge wa mitandaoni
Usitake kudanganya watu. Naona mmeleta hadi mbunge wa Simanjiro ambayo ipo zaidi km 300 toka Arusha. Jiwe halikubaliki ukanda huu. Nasari Atosha 2020Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..
Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
@isis unajua kuchambaNa bado
Mwanaume chapa kazi
Acha chadrama mcharuko waendelee kucheza singeli na membe wao
Achana na Mbowee bana..ni taplo la kimataifa hilo.kwani unadhan wananchi hawaoni..achana na watanzania aisee wana akili kuliko wanavyofahamika..hahaha..kwanza wengine ukiwauliza Mbowe ni nani wanakujibu ni yule jamaa aliyekula hela ya Luwasa..yaani alinunuliwa..Leo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.
Shamra shamra na mapokezi ya Rais Magufuli ni ya mfano kwenye wilaya hii, ukiwaangalia wananchi wanavyoshangilia na kumfurahia rais, huwezi kuamini kabisa kama Arusha/Arumeru ni ngome ya Chadema.!
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa rais mkoani Arusha ,Bavicha walikuwa wanaendesha propaganda ili Magufuli asipate mapokezi makubwa kufuatia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufungwa jela baada ya kukiuka mashariti ya dhamana na kusafiri na Joyce Mkuya kwenda Ulaya..
Je mapokezi makubwa ya rais Magufuli Arusha ina maana wananchi wamepuuza wito wa Bavicha wa kumlilia Mbowe ambae yupo Segerea kwa sasa.??
Hahahah Nassar atosha kwenye nini..kikombe au...?? Unawez kutuambia amefanya mambo gani kule kama sio serikali ya ccm ndio imefanya maendeleo hayo..yapi kafanya NassarUsitake kudanganya watu. Naoma mmeleta hadi mbunge wa Simanjiro ambago ipo zaidi km 300 toka Arusha. Jiwe halikubaliki ukanda huu. Nasari Atosha 2020
Ungeweka na picha kabisa kwa faida ya wengine sisi tulie nae kila siku na kila mahali hatuna shidaLeo Rais Magufuli yupo wilaya ya Arumeru kuzindua mradi mkubwa wa maji.