Rais Magufuli acha dhihaka

Mkuu unaandika hapa sasa freedom of speech ni ipi? Freedom of assembly ipi ambayo huipati? Kura hulazimishwi, si vyama vya upinzani vimejitoa vyenyewe sasa ulitaka vilazimishwe? Wengine kina nani? Unataka ulindwe nyumbani kwako na pesa za walipa kodi? Huo ndio ukasuku akili unashikiliwa wakati unatakiwa uitumie kujiendeleza. Serikali haiwezi kufanya kila jambo mengine mnajitakia wenyewe then mnalaumu Serikali. Hakuna hata nchi moja ulimwenguni ambayo hakuna watu waliopotea au kuuwawa na kesi zao hazijapatiwa ufumbuzi. Hizi ni lawama ambazo hazina msingi.
 
Mkuu, the burden of proof is yours.
 
Huko kwenye damu ni mbali sana, sasa kama kuna mtu anafikiri 2020 damu itamwagika...haya mwambieni alimwage kojo lake kwanza tulione...
 
Ndugu yako ndio angepotea usingeongea upuuzi huo unaoongea hapo. Anyway, yote yana mwisho.

Kuna waliokuwa wakifanya exactly kama hayo lkn leo ni history na huenda huko walipo wanatamani wasingezaliwa ktk dunia hii. Time will bear me witness.
 
Toka nje ya box utachekwa boss.

Usikariri semi ambazo huwezi kuzifahamu kwa undani, nimesema ''the burden of proof is yours''. Mimi siogopi kuchekwa, yaani hao wanaonicheka siwaoni halafu ni watu ambao wanatumia majina ya bandia hawanifahamu siwafahamu. basi itakuwa ni kituko. Hapa ni points tu na kuweza kutoa ukweli ambao siku zote husimama no matter what.
 
Ndugu yako ndio angepotea usingeongea upuuzi huo unaoongea hapo. Anyway, yote yana mwisho.

Kuna waliokuwa wakifanya exactly kama hayo lkn leo ni history na huenda huko walipo wanatamani wasingezaliwa ktk dunia hii. Time will bear me witness.

Mkuu unalaumu watu kwa sababu ndugu yako kapotea? Kwani wangapi wanapotea Tanzania hii? Utawala wa sheria upo unashindwa nini kutoa vielelelezo vyako Polisi? Hatufanyi mambo kwa sababu ya kufikiria, sheria zipo mbona kila Mtanzania anafuata sheria iweje wewe/nyinyi mnataka kutumia nguvu tu bila kuwa na ushahidi? Mkuu peleka ushahidi wako polisi au kama unaona hawatakusaidia peleka UN tuone kama hatua hazitachukuliwa. Tuache porojo na majungu.
 
Inawezekana kabisa Matukio hayo yakawepo lakini yana tofautiana Mazingira ya Matukio yenyewe ,mfano hai kabisa ni hili la hapa kwetu la Mh Lissu.Mazingira yake yapo wazi tofauti na Matamko ya Vyombo vya Usalama.Tuna Haki Kikatiba kuhakikishiwa Usalama wetu Raia wa Nchi hii.

La Dada yetu Akwilina (R.I.P.) nalo unalisemea vipi Mkuu !?.
 
Shukuru uko hapa as anonymous, ninyi watu hamna Hata jeuri ya kuongea Mbele yake. Nendeni kwenye mikutano yake mumueleze.
 
Nasema hivi, toka nje ya box propaganda zinakupofusha. Nahisi ww lazima utakuwa ni mzee.
 
TL huna ushahidi, ni majungu tu yanaendelea. Chadema inasemekana wanahusika na wengine wwanasema CCTV ziliondolewa etc lakini mwenye kesi ameitelekeza hataki kuja kutoa ushahidi wake. Pengine muulize Zito maana ana urafiki mkubwa sana na TL siku za hivi karibuni hivyo hakuna anayefahamu hasa what is cooking.

Akwilina (RIP) aliuawa kwenye maandamano ambayo yalipigwa marufuku na Polisi, kesi ipo mahakamani kama sikosei, sasa unataka mimi niseme nini?
 
Nasema hivi, toka nje ya box propaganda zinakupofusha. Nahisi ww lazima utakuwa ni mzee.

Sawa mimi ni mzee, wewe ni kijana. Hilo halikuondolei wewe kushindwa kuleta hapa ushahidi. (''the burden of proof is yours''.) Then naomba uniambie propaganda zangu ni zipi?
 
Ben Saanane yupo wapi wewe jinga?

Huyo muulizeni Mbowe maana alikuwa mshauri wake mkuu kama sikosei. Halafu tafuteni kuna tetesi kwamba alipokuwa anasoma India hakumaliza, alitoroka baada ya kuua raia wa nchi ile. Tafuteni taarifa za kweli wacheni majungu.
 
Sawa mimi ni mzee, wewe ni kijana. Hilo halikuondolei wewe kushindwa kuleta hapa ushahidi. (''the burden of proof is yours''.) Then naomba uniambie propaganda zangu ni zipi?

Pambana na kisukari tu mzee ole, sioni kama una jipya zaidi ya kutapika propaganda ulizoshibishwa.
 
Huyo muulizeni Mbowe maana alikuwa mshauri wake mkuu kama sikosei. Halafu tafuteni kuna tetesi kwamba alipokuwa anasoma India hakumaliza, alitoroka baada ya kuua raia wa nchi ile. Tafuteni taarifa za kweli wacheni majungu.

Jiwe ndio muhusika fullstop.
 
Pambana na kisukari tu mzee ole, sioni kama una jipya zaidi ya kutapika propaganda ulizoshibishwa.

Sawa mimi nina kisukari wewe unaonaje? Kisukari changu kinavyokupa nondo ambazo huwezi kuzitolea ufafanuzi. Kumbe kisukari ni kizuri hebu nieleze kikoje hicho kisukari nikitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…