mzungukichaa
Member
- Nov 8, 2010
- 57
- 27
Rais John Pombe Magufuli Amesema hotuba aliyotoa Nchini Rwanda Kwa Kiingereza ndo itakuwa hotuba yake ya Mwisho kuhutubia kwa kutumia Lugha Hiyo. Hotuba zote zitakazofuata zitakuwa kwa Lugha ya Kiswahili. Bravo Bravo Magufuli. Jivunie Lugha Yako!
Msikilize Kwenye Audio.
Msikilize Kwenye Audio.