Rais Magufuli aambiwe ukweli

Umeongea point sana...ingekuwa huu ujumbe ufike kwa mh. Ingekuwa njema sana.
 
Hivi ninyi mnaamini watu wote hawa wanamdanganya Mkulu? Mi sidhani naona yeye ndiye anayejidanganya na wenzie wanapiga vigelegele.
 
Mkuu hatuna Rais...kiatu cha Urais aliyekivaa akimtoshi mguu wake mkubwa kiatu kinambana...ngoja tucheki mguu wa Nd. Membe kama kitamtosha....
 
Kwa kweli inaumiza sana mkuu sijui tutajinasua namna gani
 
Reactions: BAK
Sawa akiitisha mkutano na wachumi wa nchi hii na yeye akawa ndiye muongoaji mkuu haya mazazo mbadala yatapatikana?
No mimi nimeshauri awaite awaache wafanye mjadala halafu yeye wampe feedback
 
magufuli hana wakumshauri, ila yeye ndo huwashauri. "MIMI UKINIPANGIA NDO UNAHALIBU KABISA"
Kwa staili hii tu declare hafai kuwa na cheo hicho
 
Bila huyu dikteta kuachia ngazi itakuwa ngumu sana. Fikiria Watanzania wengi sasa wamefikia kuunga mkono vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Nchi waipendayo kama vitawekwa na US na EU na huku wakijua fika vikwazo hivyo vitawagusa wao pia.

Kwa kweli inaumiza sana mkuu sijui tutajinasua namna gani
 
Kwa maana hiyo tukubali tunaongozwa kidikteta? Nadhan watu ipo siku watachoka na impact itakuwa uncontainable tena, ndiyo maana nimezidi kushauri watu wajifunze kumwambia ukweli,

Nimeona media zote haziripoti tena swala la korosho, limeisha?
 
Korosho bado tunahakiki inakuwaje mtu ana tani za korosho afu hana hata hatua 1 ya Ardhi!
 
Mkuu kwanza sikupingi kuhusu kuwa kuna kazi imefanyika ila nimakupinga kwa asilimia mia ya kwamba inabidi Rais azibe sikio. **** mtu amejinyonga mtwara nyuma ya ghala la kuhifadhia korosho kisa mkuu ameziba skio. YULE ANGEKUWA NDUGU YAKO AU MZAZI WAKO, ungetoa haya maoni? Jiweke kwenye viatu vya ndugu za wale waliopotea, Ben Saanane, Alphonce mawazo, Azory Gwanda na wengineo halafu uje useme tena
 
Tulikuwa tunajua tangu mapema biashara zilizokuwa zinategemea mafisadi na money launderers lazima zife. Mkuu tulia dawa ikuingie ili upone ugonjwa wa kifisadi
 
Bado naamini Kama Raisi Magufuli tukimuambia ukweli wa mambo (akatusikiliza) na tukaacha kumpotosha (naamini wanampotosha) Kwa spirit aliyo nayo, Kuna uwezekano wa yeye kuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea duniani.

Hicho kipande hicho, huo Ukweli unaousema ataambiwa na nani? Ataambiwaje?
Nawaza kwa sauti zaid ya unavyofikiria ndugu m/kiti
 
Korosho bado tunahakiki inakuwaje mtu ana tani za korosho afu hana hata hatua 1 ya Ardhi!
Walanguaji tumeula wa chuya japo ilikua ni biashara halali kipindi cha nyuma na na ilikua inaingiza kipato kwa kijiji husika
 
Mkuu hatuna Rais...kiatu cha Urais aliyekivaa akimtoshi mguu wake mkubwa kiatu kinambana...ngoja tucheki mguu wa Nd. Membe kama kitamtosha....
Basi 2020 tuwe serious, tutapambana tuchague tunayemtaka
 
Bila huyu dikteta kuachia ngazi itakuwa ngumu sana. Fikiria Watanzania wengi sasa wamefikia kuunga mkono vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Nchi waipendayo kama vitawekwa na US na EU na huku wakijua fika vikwazo hivyo vitawagusa wao pia.
Nadhan kwa mtu anayefikiria hii ilikuwa dalili ya wazi kabisa kuwa wananchi wamechoka, Ninaogopa itaanza Chemical solidality na vita baridi itakuwa imeanza na damu zisizo na hatia zitamwagika. Mungu aepushie mbali
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…