Rais kuingilia taratibu za ibada

Rais kuingilia taratibu za ibada

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,652
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada .

Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi.

Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa.

Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho.Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.

Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha.

Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu .

Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
 
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
wewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.
 
Yes kaingilia utaratibu wa misa,kukusanya sadaka hakupangiwa kufanya hii kazi,wapo watu waliopangiwa ndio maana hata yeye anapoendesha mikutano yake huwezi kuona watu wanaingilia ratiba iliyopangwa,binafsi heshima yangu kwa kanisa hili imeshanitoka long time ago,ninasali nyumbani kwangu ,juzi kati kuna mtu aliingilia hotuba yake kutaka haki yake,kwa kauli yake tulimsikia nini aliamrisha kwa polisi wake wakifanye dhidi ya mlalamikaji huyu,ni huyu huyu no 1 alishatamka kuwa hatajali kuona suspects wakipigwa risasi na kuuliwa hata kama mmoja wao ni ndugu yake,kauli kama hii inaonyesha ni jinsi gani alivyo katili na sio muumini wa uhuru wa kisheria ,ni mahakama tu yenye uwezo wa kuhukumu.ukiona umefurahishwa na kituko hiki cha our no 1 kuingilia mpangilio wa ratiba ya ibada ,elewa hata katika maisha yako hauna mpangilio.
 
wewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.

Haikuumi sababu wewe sio wa imani na unalamba viatu tu bila kujua kama hayawani.!JINGA.
 
Umechemka sana kwa mtazamo wako uwo, hakuna ilitrojia yoyote iliyovunjwa pale, Raisi was Burundi Nkurunzinza yeye binafsi uenda kanisani kufanya usafi kabla ya ibada, na anakuambia anamtumikia aliye mkuu kuliko wote, sasa we we unakuja na swala la kukusanya sadaka.......!bado sana
 
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Chuki ikizidi ndiyo huwa hivyo rangi nyekundu huonekana kuwa nyeusi n.k
 
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Rais kaingilia ibadHawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wametawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
 
Je alipangiwa kukusanya!? Hakuna cha chuki kama wajinga waliokunywa maji ya viatu wanavyodai. Ibada ziheshimiwe.
 
Kuna shughuli au kazi kwenye ibada hawezi kufanya mtu bila kupangiwa, LAKINI kukusanya ibada anaweza kufanya muumini yeyote kufuatana na mazingira; tuseme kwa mfano, labda kuna sehemu wakusanya sadaka "waliopangwa" hawakufika kwa sababu moja au nyingine, muumini aliye karibu anaweza kufanya kazi hiyo. Hakuna kizuizi chochote in that!
 
Kukusanya sadaka anaweza fanya mtu yeyote, mbona wakati wakupeleka vipaji kama waliopo hawatoshi huchukuliwa yeyote aliyepo karibu? Ni watuvna watu na roho zao za korosho
 
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
hii serikali kumbe ina dini.
 
Nadhani una matatizo kichwani mwako. Dkt Magufuli kalelewa na wakatoliki anafahamu taratibu zote! Wewe utakuwa ni wa vyama vya upinzani, ukome kushobokea vitu visivyokuhusu.
 
wewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.
Hebu komaza ubongo kidogo,
Ibada siyo jambo linaloendeshwa km unavyodhani,labda ibada ya madhehebu yenu ya vichochooni,
Mfano alivyokusanya sadaka anajua huwa zinapelekwaje altareni,Kanisa lina lituljia yake, siyo holela holela,mpaka wa cheo chake hauingii pale,akienda kanisani yeye ni wa kufuata taratibu tu,
 
Back
Top Bottom