Rais kuingilia taratibu za ibada

Rais kuingilia taratibu za ibada

Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Jukwaa saiz limekuwa na watu wapuuzi wapuuzi tu.Yani mtu anaanzisha mada utafikiri yuko kwenye kijiwe cha kahawa.
 
Umechemka sana kwa mtazamo wako uwo, hakuna ilitrojia yoyote iliyovunjwa pale, Raisi was Burundi Nkurunzinza yeye binafsi uenda kanisani kufanya usafi kabla ya ibada, na anakuambia anamtumikia aliye mkuu kuliko wote, sasa we we unakuja na swala la kukusanya sadaka.......!bado sana
Lkn Rais wa Burundi kabla na hata baada ya kuwa Rais ni muimbaji wa Gospel na Choir (mtumishi) so tofautisha hapo. Mwingine huu utumishi kauanza ghafla baada ya kuchukua kijiti!!!
 
Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Hujui chochote kuhusu Katoliki.
Kila jambo linapangwa kwa utaratibu maalumu mfano kukusanya sadaka huwa ni kwa zamu kutokana na idadi ya jumuia zilizopo ndani ya parokia/kigango.
Kila jumuia inakuwa na siku/zamu yake kufanya usafi, kusimamia na kukusanya sadaka so hakurupuki mtu from vichakani kukusanya sadaka!
Kwa kesi ya #1 siweki neno lkn nimetoa ufafanuzi tu kuhusu utaratibu wetu Wakatoliki.
 
Utaratibu wakukusanya sadaka niwakawaida nawanaokusanya sadaka niwaumini wakawaida
Kwahiyo kitendo alichokifanya Mh Raisi nichakawaida sana sana
Tena kwa nafasi yake nikitu kikubwa sana kumfanyia Mwenyenzi Mungu Mkuu
Mimi mkatoliki nileyesoma uchaghani useminarini nijambo zuri sana
Huujui ukatoliki wala hujui taratibu zake.
Mambo hayaendeshwi kiholela kama huko vichochoroni kwa "mitume" na "manabii" wenu. Katoliki kuna utaratibu maalum wa kufanya usafi, kusimamia na kukusanya ibada, ndomana wasimamizi na wakusanyaji wanakuwa na utambulisho. Usijitie ujuaji kwa kila jambo.
 
Hakukosea,mtoa post inawezekana unachuki na raisi wetu mpendwa
 
Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Angekuwa muislam tungejiuliza kulikoni,lakini mkatoliki ni haki yake
 
Nafikiri cha kujadili ni je, alikuwa katika retina ya kukusanya sadaka?
Nijuavyo kuna taratibu na ratiba maalum ya nani wanawajibika na nini, katika kila ibada. Kama pengine jumuiya yake ndio ilikuwa ikiwajibika na ukusanyaji sadaka, hapo hamna shida, ila watu wake wa usalama sijui atakuwa kawaacha wapi? Ila ikiwa ni kwa sifa zake tu anakurupuka na kuwasukuma wahusika waczoezi hilo waliotayarishwa, basi hata mimi nasema, waache sifa na sasa zake ccm.
Nachelea kusema ana nia ovu ya kuangalia wingi au uchache wa sadaka ili atumie kisiasa (majukwaani), kwamba vyuma havijakaza mbona kanisa....wanatoa pesa nyingi. Au katika dhana ya wote tuishi kama 'shetani', sijui ndie anayemwabudu, basi atayashukia makanisa kuyataka apate kutoka hapo kitu kidogo.
 
Anafanya Hivyo Kama Muumini Wa Kawaida Tu. Tena Zaidi Anapaswa Kupewa Nafasi Ya Kuhubiri Neno La Mungu Pamoja Na Kuwa Ana Utukufu Wa Urais Na Itifaki Yake Inazingatiwa Awapo Kanisani
Mbona waumini wengine hawahubiri?
 
Lkn Rais wa Burundi kabla na hata baada ya kuwa Rais ni muimbaji wa Gospel na Choir (mtumishi) so tofautisha hapo. Mwingine huu utumishi kauanza ghafla baada ya kuchukua kijiti!!!
Kumbuka JPM ndoto yake apo awali ilikuwa ni kubwa Padri bahati mbaya kwakwe hakuweza kumtumikia Mungu katika upande uwo wa upadri, lkn Leo anamtumikia Mungu kwa kuwatumikia wananchi wote wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom