Matumizi mabaya ya pesa ,atuonee huruma watanzania hizo pesa zingeweza kununulia dawa zikapelekwa kwenye zahanati zetu
Kwenye lile sakata la kampuni yenye asilimia hamsini ya eskroo mali ya familia ya mfalme tulionyeshwa kwenye google kuwa ipo huko
Kwa nini asikae huko huko hadi novemba siku ya kuapishwa rais mpya wa Ukawa aje kumkabidhi nchi.
Huyu alipaswa kuwa Kondakta au Dereva
Baada ya juzi tu kutoka Uswisi, Mheshimiwa Rais Jakaya, Jumamosi wiki hii anaanza ziara ya kuaga nchini Australia.
Chanzo: Ndani ya Ikulu
Amkabidhie huko huko.Yaani huku asirudi kabisaaaaaaaaaaaaaaaa.Marupurupu yake atayapatia hukohuko..:doh:
Hahahahahahhahahahahahahahahahhha huyu jamaa kamchoka rais kupitiliza
Vasco da gama wetu hoyeeeeee😀
wewe ni kajanja kazini.
tatizo lako unaleta taarika kiushabiki kuliko uhalisia kama ulivyoleta ile ya uswisi.