RAIS KIKWETE:POLENI SANA WAFIWA WOTE...ona!

Ila kwa Sugu siyo kampeni tena kwa kutokuwa na uhuru wa mavazi- ujauzito wa akili.
Suguphobian,.......wewe ulitaka avae skafu kama Mwigulu Nchemba? Kilaza wewe Sugu afanye kampeni Sinza wakati yeye ni mbunge wa Mbeya? Una kaswende ya ubongo.
 
Atakayekupiga madongo basi ni miongoni mwa wale wasiyokuwa na shughuli za Kufanya, mimi kama Matola simply siwezi kwenda msibani kwa Kanumba wala kwenda kumzika kwa sababu mosi hatukuwahi kufamiana zaidi ya kukutana kimjinimjini, pili mimi si shabiki hata chembe wa Bongo Movies, illa ninasikitishwa na kifo chake kwa sababu ni binadamau mwenzangu/Mtanzania, amekufa akiwa bado kijana mdogo na alikuwa hard worker.

Kanumba mauti yamekuta akiwa kwenye uzinzi na machukizo kwa Mungu natalajia leo kiongozi wa kiroho akemee vitendo vya uzinzi kwenye misa ya kumuombea Marehemu Kanumba. Tamati: kifo cha Kanumba ni kazi ya Shetani na siyo kazi Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…