RAIS KIKWETE:POLENI SANA WAFIWA WOTE...ona! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RAIS KIKWETE:POLENI SANA WAFIWA WOTE...ona!

Discussion in 'Jamii Photos' started by BAGAH, Apr 9, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ......................
  Big smile!...
   

  Attached Files:

  • 3.jpg
   3.jpg
   File size:
   69 KB
   Views:
   182
 2. B

  BLB JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mi hua cmwelewi huyu jamaa,
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,858
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  wakati wa majonzi ni wakati wa kupiga kampeni.......................ama kwa hakika kufa kufaana...........
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Naona vijana wa usalama itifaki inazingatiwa.
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Jamaa kauza sura tayari.
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  sugu atia timu msibani.
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi watanzania hatuna kazi za kufanya??? iweje tukio la msiba wajazane maelfu kwa maelfu ya watu?? This country is sick!!!!
   
 8. F

  Fofader JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Umesahau kuwa ni sikukuu?
   
 9. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  basi waitumie sikukuu kwa mambo ya sikukuu kuliko kujazana nyumbani kwa mtu aliyekufa, what a shame!
   
 10. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Mkuu ubwabwa mkuu! Kuna watu hapo hawajauona ubwabwa kwa siku tele. Hali ya maisha ngumu mkuu!
   
 11. E

  EDINA RWIZA New Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku msiba ukikukuta nyumban kwenu nadhan utajua umuhimu wa watu msiban
   
 12. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  what a comment!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAJAWAHI FIWA EDINA, hilo ni jambo zito sana usiombe litue nyumbani kwako, ni moja ya jambo baya kabisa ambalo likikutokea mwenyewe sio kwa jirani. Unaiona miale ya moto ikipita ktk mwili wako.
   
 13. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Vipi kiongozi unakerwa na tabia hiyo? Marehemu inaelekea alikuwa mtu wa watu. Kwa mtizamo huo,inaelekea kwako hakanyagi mtu!
   
 14. M

  Mboerap Senior Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wamarekani walipojazana kwenye msiba wa Maiko Jackson hamkupiga kelele, leo wamejaa kwa Kanumba mnasema wamefuata ubwabwa. Hivi kweli akina Pinda, Riziwan, Sugu,Mdee Rich na wengine kibao hawana jambo la kufanya au nao wanatatizwa na ubwabwa? Acheni masihara kwenye kitu "MSIBA"
   
 15. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ngoja ufiwe halafu watanzania waendelee na kazi kama unavyotaka,usisahau kurudi tena hapa baada ya hao watanzania kuendelea na kazi
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Nadhani hamjamuelewa vyema mtoa mada, mimi ningependa nimtetee, ni kwamba kiukweli Watanzania wengi hawana shughuri za kufanya ndio maana wamejazana pale msibani na wengine hawapo pale kwa sababu wameguswa sana na huo msiba bali wanauza sura na wengine ni kweli ubwabwa ni sehemu ya kivutio cha wao kuwepo pale.

  Watu wote ambao wako commited huwa wanakwenda msibani kama pale kutowa pole na ubani na baadaye hujiondoke na uonekana siku ya mazishi tu, sasa huwezi kunishawishi mtu anashinda pale kwenye msiba full time then uniambie anaomboleza!! hili siyo kweli, wapo ndugu na majirani wa kweli na marafiki wa karibu ndiyo wanaopaswa kuwepo hapo fulltime.
   
 17. sikajiji

  sikajiji JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 581
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Si ni kwa sababu ya utamaduni wa kula na kunywa, tusipokwenda nani atukula na kunywa vilivyoandaliwa?
   
 18. sikajiji

  sikajiji JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 581
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ila kwa Sugu siyo kampeni tena kwa kutokuwa na uhuru wa mavazi- ujauzito wa akili.
   
 19. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna kosa gani Kikwete kuwakumbuka wasanii wenzake? Kama mambo serious yamemshinda jamani ashindwe na usanii? Hii ndiyo Bongo ambako kila mtu ni bongolala kiasi cha kuifanya bongolaland. Nyie mnadhani wakubwa wanakwenda misibani kwa sababu ya mapenzi kwa marehemu au kutumia fursa kujijenga kisiasa. Umaarufu haujengwi kwa matofali bali sarakasi na sanaa. Ama kweli Kikwete ni msanii. Ila tuwe wakweli. He has lost direction so as not to know what to do how, when and why. Kanumba amewavuta Kikwete, Salma, Riz na bado Halfani yule junior maarufu wa ukoo wa mfalme Jakaya. Hivi wabongo mnataka mliwe vipi na mara ngapi?
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I think this is getting too much, toa pole jikate, wengine wameweka kambi. Hii ni time ya family kufarijiwa siyo wawe na hekaheka ya tutalisha vipi umati wa watu au tutawaweka wapi. Another thing, yes he was celebrity and we surely will miss him, lakini mpaka ikulu iko stand still kwa ajili kanumba amekufa...mmh way too much!

  This simply implies, hatuna kazi za kufanya hata kama ni mapumziko ya Pasaka, kama unampeda zaidi muombee hata ukiwa nyumbani kwako sio lazima ukaminyane. Najua mtanipiga madongo but I spoke my mind......
   
Loading...