OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Usimsemee edo fanyeni yenu jamani kwanini kutwa kujadili watu kwenye haya maisha wakati ukifika atavuka mto alisema edo.Edo kanyamaza anajipanga, alianza membe, sasa kaja makamba jr, sasa akiibuka mwenyewe utasikia wanavyohangaika kumtuliza.
Ccm ni wanafiki tuu!kanuni au adhabu zao huwa zinamlenga mtu na mtuUsimsemee edo fanyeni yenu jamani kwanini kutwa kujadili watu kwenye haya maisha wakati ukifika atavuka mto alisema edo.
tuwe wakweli hiyo afya ya Lowasa ataiweza mikikimikiki ya uchaguzi kama cyo Kutaka kumumalizia tu mzee wa watu?JK hakupaswa kusema hayo! kama dogo alitangaza nia ni kampeni na pia kusimama na kusema ameanza kampeni ni kampeni pia. CCM bila Lowasa 2015 hakuna ushindi.