Rais Kikwete, i swear hakunaga!

Rais Kikwete, i swear hakunaga!

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.

mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.

1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi

2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.

3.ALIPIGANIA USTAWI NA AMANI YA WAZANZIBAR
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza mivutano na uhasama.

4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya

5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.

bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.

let us discuss ideas and issues not people.
 
JMK enzi zake zimekwisha anatakiwa kulima mananasi Msoga sasa ni zamu ya Magu ya kutumbua majipu.
 
ukiwa mbumbumbu utabeza, ukiwa kama nyumbu utaliwa na fisi, mamba ,chui na simba bila kujijua.

mh Kikwete ni rais wa aina yake. hembu pitia hapa na kama wewe nigreat thinker basi utakubali bila kubururuzwa.

1. UTAWALA WA SHERIA.
Wengi hawafahamu namna kikwete alivojitahidi kuweka utawala wa sheria. mfano tu sasa hivi kuna magazeti na TV hazisemeki na watu wanapaswa kulitambua. pia haki za binadamu zimeboreshwa na watu wengi hiv sasa wanatambua haki zao ukilinganisha na zamani. Katika utawala wa kikwete Said Mwema aliunda hadi polisi jamii lengo likiwa kulinda haki za binadamu.
:
wapinzani saivi wajipange maandamano ya kipuuzi ndio mwisho. saiv mikutano ya hadhara imezuiliwa na bado polisi watakuwa na zero tolerance kwa wakorofi

2.KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU.
Kikwete alipoingia aliwakamata mawaziri wawili kwa rushwa, wafanyazi wengi sana walikamatwa, ameunda Takukuru kuchunguza wezi, pia kuruhusu CAG kupeleka ripoti yake bungeni. mazuzu wasioelewa hawajui ni jambo kubwa sana alilolifanya rais kikwete kwani ubadhirifu serikalini uliwekwa wazi na wabunge kuchukua hatua.

3.ALIPIGANIA USTAWI
Kikwete hakulala alipoona wazanzibar wakigombana wenyewe kwa wenyewe. alisimamia muafak hadi Leo upo. zanzibar a man IPO na wamepiga hatua kubwa na kupunguza

4. KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Kikwete alifanya jambo la kijasiri kuanzisha mchskato wa katiba mpya ambayo inasubiriwa ipigiwe kura Tanzania kwa miaka 50 ipate katiba mpya

5. KUWAJALI WAPINZANI WAKE
Kikwete alimteua Mh Mbatia kuwa mbunge.lakini shukran ya punda ni mateke.

bila shaka wapinzani na wanaomshutumu Kikwete hawana muda mrefu watamkumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya.

let us discuss ideas and issues not people.

Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.

1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?

2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?

3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?

4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?

5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??

Sasa ni zamu ya kufanya kazi, mambo ya selfie, keki za birthday, send off na reception ikulu, Kuzurura ughaibuni zimekwisha!! Bado Governor siku zake zinahesabika huwezi kuacha bureaude change zinazagaa mtaani kuliko idadi ya Barbershop!
 
JMK na JPJM wote ni CCM, mwanzisha thread wewe ni mnazi wa CCM sasa unapoanza kuwacompare hao wawili au unapoanza kumsifia mmojawapo tukueleweje? Au ndio inatimia ile kauli ya JKN(RIP) aliyesema dhambi ya ubaguzi mbaya, mmewatenga ukawa sasa mnaanza kutengana wenyewe?
 
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.

1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?

2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?

3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?

4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?

5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??

Kila nchi na shida zake.

Kenya kuna ukabila, Tanzania kuna udini
 
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.

1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?

2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?

3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?

4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?

5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??

rudia kauli hii baada ya miaka 2,utanambia
 
Sawa hatujakataa, ila sasa ni zamu ya kazi tu
 
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.

1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?

2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?

3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?

4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?

5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??

if u have no data or research u have no right to speak
1.hata marekani a big power inadaiwa mabilioni na China how can u grow ur economy without borrowing? that is nonsense question
2 huwez kumpeleka mahakamani MTU km huna ushahidi mahakama sio kibaraza cha kahawa. mfano magufuli alikamata meli ya samaki ikataifishwa unajua hasara serikali iloingia kulipa billion. ur so ignorant.
3. ur so foolish. amepeleka jeshi Comoro na kuikomboa kutoka kwa waasi, alisaidia muafaka Kenya, ametuma vikosi vipo Congo io ni kwa ufupibado issue za mazingira yan ur so idiot
4 anangalia km ngapi za barabara na madaraja zimejengwa, angalia mradi wagesi, anagalia maboresho chuo kikuu cha tiba,angalia usambazaji umeme vijijini etc
5 am so tired to engage with a man like u!
 
bora katoka aisee kaidharaulisha sana nchi!
 
Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had.

1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi?

2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans?

3. Ameifanyia nn Africa cha kukumbukwa?

4. Safari zake za nje ziligharimu sh. ngapi?

5. Alifanya nn kuhakikisha national fabric iko intact??

Wewe unamind za kudini kweli kweli maana mleta maada hajagusia hilo wewe umelisema.
Japo najua kila mtu ni mhim kwa wakati maalum na tukio maalum, kwa maana hii kuna vitu huenda alifanya vzr but vibaya naviona vingi sana so na conclude kwa kusema mazr yalikuwa majukum yake lkn hayo mabaya alijiongezea mwenyewe
 
Najua jambo moja tu,JPM kwa utendaji wake ameunda Chama cha Upinzani kilicho ndani ya CCM kinachosimamia udini kama ajenda yake kuu!Wale waliokuwa wanamsifu ndio hao wamegeuka wapinzani wake!
 
if u have no data or research u have no right to speak
1.hata marekani a big power inadaiwa mabilioni na China how can u grow ur economy without borrowing? that is nonsense question
2 huwez kumpeleka mahakamani MTU km huna ushahidi mahakama sio kibaraza cha kahawa. mfano magufuli alikamata meli ya samaki ikataifishwa unajua hasara serikali iloingia kulipa billion. ur so ignorant.
3. ur so foolish. amepeleka jeshi Comoro na kuikomboa kutoka kwa waasi, alisaidia muafaka Kenya, ametuma vikosi vipo Congo io ni kwa ufupibado issue za mazingira yan ur so idiot
4 anangalia km ngapi za barabara na madaraja zimejengwa, angalia mradi wagesi, anagalia maboresho chuo kikuu cha tiba,angalia usambazaji umeme vijijini etc
5 am so tired to engage with a man like u!

haaa!!! ivi wewe ni mtu hai au mzimu???unaongea madudu gan hapa?? laana inayo ztnguka juu ya taifa imetokana na ilo robot alafu unazungumza utumbo???shame on u,umasi mkubwa pamoja na lasilima 2lizo nazo mikataba mibovu
 
Back
Top Bottom