Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 763
Hivi kwanini hasikuteuwe uwe hata Msaidizi wa Rais badala ya kumteuwa January au Jairo? naamini kama angekupa U-PS Nishati na Madini kwa maneno haya husinge diriki kuwapa hongo Wabunge kwa ajili ya kupitisha Bajeti hata kama ungekuwa damdam nae labda hapo hatua zinge anza kwenda mbele maana ndipo gari lilipo kwama hapo Mkuu.
Nimejidhiirisha kuwa hata kama angekupa U-waziri kama kuna kosa la kuwajibika husinge katikalia ofisini kama Ngereja na Hussein bin Mwinyi kama watanzania wangepiga kelele ujiuzulu maana hapo pia ndipo panapotukwamisha mara zote Mkuu Ivuga!
Sasa basi nakubaliana nawe kuwa Rais ni wa mwisho katika utendaji lakini ni kwanza na mwisho katika Maamuzi makuu ya kusonga mbele; pale anaposhindwa kuchukuwa hatua basi wananchni wote wanakata tamaa na kuanza kulia maana mkiona kitu kimemshinda Baba basi mjue hakuna jinsi ni kulia tu "NO WAY" Urais pia ni kazi rahisi sana lakini mpaka upate wasaidizi makini na wenyewe uwezo nadhani hapa ndipo alipo kosea mara zote mpaka leo hadi kesho.
Pia Urais unahitaji ujasiri na hata kiapo cha Urais kinatambua hilo lakini pia kama binadamu ujasiri unaweza kupotea pale ambapo wewe mwenyewe umekwisha kujidhalilisha na kushiriki katika mambo ambayo unatakiwa kuyakemea hivyo unapoteza uwezo na ujasiri wa kukemea, maana kama kila siku unagongana na wanao hotelini umelewa na kimada pembeni hakika lazima ukose ujasiri wakuwa kemea juu ya tabia ya ulevi na Uzinzi maana kama ni kinara wewe ni namba moja; hapa pia ndipo palipo mkwamisha Mkuu wetu baada ya kukubali na kujikuta kuingia katika mitego na dili za Ufisadi kwa kusaidia na rafiki zake wakubwa Jairo, EL, RA, & Chenga... ila naona kama hasingefanya kosa ange kuteuwa St. Ivuga labda haya yote yasingetokea, mathalani alipouliza kama hatuna wasomi yeye tokea ameingia madaraka amediri kuwatumia wasomi mara ngapi katika mambo yake au kwake Urafiki unanguvu kuliko Usomi? maswali ni mengi sana ila kwa kifupi alipokosea ndipo hapo hapo wewe unapomsifia nashindwa kukuelewa hata kidogo..........Leo jogoo anawika ndio wanapiga kelele Lowasa ni fisadi lakini haya maneno yalisemwa na Nyerere 1995 bado yeye bila aibu akamteuwa kuwa PM wake? huoni pale alipojikwaa kama huoni basi fumbuwa macho ...
Hatuwezi kufanya na hatuta fanya mambo ambayo si wajibu wa kifamilia, kama unaongea mamabo ambayo ni wajibu wakifamia tunafanya kila siku nandio maana wanapata kodi ya kuiba na kutumia kifisadi wajibu wetu namba moja kwa serikali ni kulipa kodi tunalipa hapo ndipo serikali ingeweza kutulaum lakini kama tuanalipa kodi lakini hanashindwa kuzisimamia na pia anashindwa kuzipangia development priority kwanini hasiondoke ampishe mwingine atakaye weza?!