Rais kenyatta anapendwa bongo




[h=1]HAIJAWAHI KUTOKEA KWA RAISI MWINGINE WA AFRIKA MASHARIKI,ZICHEKI PICHA 15 ZA USHAHIDI KWAMBA RAIS UHURU KENYATTA NI MTU WA WATU ALIPOSAFIRI KWA GARI TOKA KENYA KUJA ARUSHA KWA GARI LIVE[/h]
 
Ni kweli hasa kwenye willaya za mpakani na Kenya kama Tarime, Rorya, Rombo, etc. By the way, hizo picha ni za bongo kweli? Naona maandishi ya kinyang'au kama Kobil, Bata, M-Pesa (on green bg), etc.
 
Ni kweli hasa kwenye willaya za mpakani na Kenya kama Tarime, Rorya, Rombo, etc. By the way, hizo picha ni za bongo kweli? Naona maandishi ya kinyang'au kama Kobil, Bata, M-Pesa (on green bg), etc.

Kweli hivi tuna Chicken inn wapi kwa sasa Tanzania?
 
Ndugu naomba usipotoshe watu kwa hizi picha hapo siyo Tanzania ni maeneo ya nje kidogo ya mji wa NBI paitwa Kitengela na siyo kwetu.
 
Arusha alikuja na Ruto?

Hakuja na Ruto Arusha lakini walitoka wote Nairobi na Ruto aliishia Namanga. Hizo picha zilipigwa wakati wanapita eneo la kitengela wakiwa njiani kuja Namanga. Lakini hapo usalama wa Rais unakuwaje jamani?

Tiba
 
Safi sana inaonekana una kubalika raisi kijana na wananchi wako siyo huyu wa kwetu anabeba watu kwenye mabus ndo wanakuja kumshangilia
 
Kweli kabisa ebu cheki watu na walivyo na hamu ya kumuona
huyu ni freemason wa degree za juu na kawaida ya freemasons kuwa na ushawishi wa hali ya juu wanapofika sehemu kila kitu husimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…