Rais kawapa kitendawili Morogoro wakitegue

Wewe jamaa mjinga sana...simtetei Abood ila kwa jinsi ulivyoandika unaonesha ni mtu wa kujikomba...na kudandia vitu ukitaka kupata favour ya kuteuliwa.
Una uhakika Kwamba Abood anatoa Leyland kuzikia?
Punguza kiherehere.....
Hao wanaomsakama Abood na wao wana madhambi kibao...mfano tu Kuanzia Mh Rais.....nyumba alizogawa je?
Ila Abood kama aliona hawezi ni bora angerudisha tu Serikalini..
Lakini kwa jinsi ambavyo nchi ya Tanzania ilivyo huyo ambaye angepewa angelifanya haya haya ya Aziz Abood.
 
Jamaa anahangaika kweli huyu, na aina hii ya watu wakipata teuzi wanakuwa viongozi wa hovyo kweli..
 
Kwa kutumia mbinu za kimedan kama ulivyotanabaisha unaweza ukaelezea ni kwa nn Rais akukata jina la Mbunge kama baadhi ya watu walivyotegemea kutokana na vile alivyo kua akimnanga awal....?
Jibu linakuja pale Mh Rais alipowasifu wajumbe kwa kazi nzuri,kwa lugha ya picha utagundua hakuwa na furaha usoni alipokuwa anayasema hayo,Kama kulikuwa na kitu hakiko sawa,
 
Nilikuwepo kwenye kura za maoni niliongea Kama alivyoongea Mh Rais,wajumbe wakanizomea ndio nilipopata uhakika kuna shida sehemu,
 
Wachawi wanapokwenda kuloga hujiondoa kimwili na kuwa kiroho.
SWALI,
Unaposema Rais ni mtu wa kiroho sana,unamaanisha ni mchawi zaidi au mcha Mungu zaidi?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Morogoro ipo moyoni,sisi watoto wa Morogoro tumekulia Morogoro kuishi tunakuja kuishi Dar maana Morogoro hakuna ajira,kwa hiyo Morogoro wapo wazee wetu tu,hili jambo linauma kwa kila aliyekulia Morogoro maana tukiwa wadogo Miaka ya 1980's tulikuwa tunaona viwanda vikiajiri maelfu ya watu,wakichukuliwa na bus asubuhi na kurudishwa jioni,Viwanda vya Vyombo vya Udongo (Ceramics) Moro Shoes,Polyster,Canvas,Moproco,Viwanda vya dawa za Kilimo,kiwanda Cha nyuzi za mkonge,kiwanda Komoa,kiwanda Cha mbegu za mazao yote,Kiwanda cha ngozi.
 
Nilikuwa kwenye kura za maoni,nilieleza hayo nikaishia kuzomewa na wajumbe,Ila wajumbe hao hao juzi wakapiga makofi Rais aliposema,
 
Wewe bado unawaza kupewa lift,si ajabu unafurahia bus moja la kuzikia,Mh Oscar Mloka aliweka mfumo mzuri Morogoro Mjini,ikapatikana barabara ya Bigwa,yeye ndio diwani wa kwanza hapo Morogoro Mjini kuweka taa za barabarani mtaa wake wa Kichangani enzi akiwa diwani 1995- 2000 yeye mtoa hoja ya kujengwa barabara ya Kichangani toka Prokula kwa Mapadri hadi Msamvu na kutoka nanenane hadi Kichangani,Mh Oscar Mloka,Mbunge wa Morogoro Mjini 2000-2005 ndiye Injinia aliyesanifu na kufanywa levelling stand ya Msamvu huku kila mtu asijue kama pale Msamvu panawezekana pakawa na stand,enzi hizo stand ilikuwa Mjini kwa Omary Awadh,alichokosea kuwa against na Merry Balabuu na Abood ndio waliosimama kukwamisha juhudi zote za Mh Oscar Mloka nae akaona sio tabu akamwachia shemeji yake Dr Omary Mzeru.
 
Mambo ya maccm Ni ya kipumbavu
 
Hilo basi lenyewe likiletwa linakaa kidogo dereva analiondoa anasema mnachelewachelewa anataka kulipeleka kwenye msiba mwingine ni manyanyaso tupu
 
Nilikuwa kwenye kura za maoni,nilieleza hayo nikaishia kuzomewa na wajumbe,Ila wajumbe hao hao juzi wakapiga makofi Rais aliposema,
Kwa hiyo una ujumbe gani kwa hawa wajumbe ndugu Leslie....
 
msemakweli chakubanga on the way
 
Chichiemu ni chama cha kishetani & kigaidi,yanakulana yenyewe kwa yenyewe kama mafisi
 
Namshauri abood ajiuzulu ubunge
 

Hizi njaa, ndugu yangu hiyo cv na simu unatafuta uteuzi tu, jifunze ona hata aibu
 
Wewe ndiye Musiba au tumsubiri ajaye?.
 
Kwa nini avirudishe serikalini wakati alivinunua kihalali?isitoshe why always Abood? Viwanda vikubwa sana Morogoro na Tanzania vilivyoajiri maelfu ya watu vimefungwa.kiwanda cha Tumbaku kilibinafshishwa kimefungwa kwa nini?mazava kimefungwa kwa nini?cha mazulia kilosa,cha ceramic,cha Bora,mwatex,mutex, vote havipo.kaonekana Abood tu.huu ni uonevu mkubwa.mnyonge myongeni haki yake mpeni.Sisi wana moro ndio tunaojua Abood katufanyia nini.Chuki binafsi hazifai.
 
Magu alikuwa anataka amnyang'anye awape maswahiba zake, Mungu Fundi lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…