Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,554
Hivi mwezi unaisha hata kwenda bado hutaki, unangoja kuombwa ndo uende?
Tunakukumbusha mtukufu rais wetu, kule nako ni ndani ya mipaka ya nchi yetu. Na juzi kumetokea vifo na janga na dunia ikahamaki, watu walikufa 17, malaki waahitaji uwepo wako amiri jeshi mkuu ili vita isiwaelemee. Majumba yalivunjika na mengi kibao kupasuka, wewe uliamua kuwaombea misaada kwa niaba yao ila imeonekana, wasaidizi wako wanasema kuhusu kusaidiwa ujenzi iwe kwa kwa vifaa, pesa ama kushushwa bei, wameambiwa wakome tena wasidhubutu kuota.
Kwani rais ile misaada waliombewa watu gani tena?
Kwasababu ulitwambia umetuma askari wako basi pia tunaamini kila kinachofanywa na wao pia kina baraka zako zote. Tunakukumbusha ile ni sehemu harari ndani ya JMT.