Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,789
Nyumba ni nyumba hata Kama ni tembe ila kwa wahaya hali ni tofauti...yaani nyumba ya babu yako ulisubiri ianguke kwa tetemeko ndio uombe kujengewa nyingine? Nasema nyumba zilizobomomoka nyingi ni za zamani Sana! Ingekuwa huku usukumani ambapo kijana akipevuka tu anajenga nyumba yake tungeona nyumba mpya, ila kwa tabia ya wahaya ya "akataka ka tata" vijana wengi walikuwa wamegomea kutoka kwenye nyumba za babu zao! Jengeni zenu maana kwa awamu hii hakuna bure bure!
Mbaya zaidi eti waathirika wanaomba msaada wa chakula, kwa lipi? Kwani migomba nayo iliangukiwa na tetemeko? Mbona hatujaona hata kiroba cha mahindi au udaga kilichoangukiwa na nyumba....hata hivyo wahaya hawali "emyaka".
Namalizia kwa kusema "omunafu ayegimb'abyosi" maana yake: mvivu hutafuta visingizio ili kuficha uvivu wake( ukimwi, tetemek, nk.
Acheni uvivu! Mjini Alepo watu wanatafuta riziki iweje hapo Bukoba?