macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,395
- 61,010
mkuu nijuze,Ritz aliumbukaje
Mkuu nimekula ban mara mbili kwa ajili ya hii issue.... inashangaza kwani mimi nilikuwa naelezea tu alivyojichanganya... nikirudia tena yale maelezo nitakula tena ban nyingine
nakuomba uni-pm basi mkuu
Basi tu 'PM' mkuu.Mkuu nimekula ban mara mbili kwa ajili ya hii issue.... inashangaza kwani mimi nilikuwa naelezea tu alivyojichanganya... nikirudia tena yale maelezo nitakula tena ban nyingine
Tulijua hilo kwa muda mrefu.
Kagame hana akili kabisa, huwa namfananisha na Yahya Jameh!
AkikuPM nami NPM
Mkuu macho_mdiliko unamaanisha ile kitu ya ritz= said moha.med?
au kuna nyingine?
Kagame hana akili lakini nchi inaendelea vipi kwako wewe mwenye Rais mwenye akili mbona kila kukicha kibakuri nchi za watu na maendeleo hakuna?
Kagame hana akili lakini nchi inaendelea vipi kwako wewe mwenye Rais mwenye akili mbona kila kukicha kibakuri nchi za watu na maendeleo hakuna?
Imeendelea kivipi?Kagame hana akili lakini nchi inaendelea vipi kwako wewe mwenye Rais mwenye akili mbona kila kukicha kibakuri nchi za watu na maendeleo hakuna?