wanaogopa kushtakiwa maana kuna mengi wameyafanya yasiyo yakawaida yakiibuliwa ni hatari sana kwao.huwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
Shida inakuja kwa aliyoyafanya akiwa madarakani ana hofu ya kuja kufanyiziwa na yeye,ndo maana kuna wengine baada ya kuona mda unaenda wanataka kuongeza iwe miaka 7 maana wanajua wakitoka hapo nini na wao kitawapata.huwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
Tamaaahuwa najiuliza kwa nini baadhi ya viungozi wa africa huwa hawapendi kuondoka madarakani, yani kuna dhana moja huwa inawatesa ya kwamba mwingine hafai anajiona yeye pekee ndio anafaa pekee
Ale shaba tu huyu atoke....madaraka yanalevya sana....Huyu bwana mdogo mwisho wake hautakuwa mzuri sana. The guy has atleast US$ 10 billion, stashed safely out of the Country. What else can a man want? Huyu atakuja kula shaba tu.
Na eti tukawafukuza na bado tukaendeleza system yao ya kutawala!Afrika tulipewa uhuru ki makosa kabisa, tungeacha wazungu watutawale milele, leo Afrika ingekuwa "Heaven On Earth".
Lkn kwa tamaa na ulafi wa kutawala tukang'ang'ania eti kudai uhuru sasa matokeo yake kila mwenye macho anaona.....!!!!.
Tuko tayari kufa baharini ili mradi tufike Ulaya. Afrika haina chochote kizuri cha kufanya wengine waige! Ni hayo hayo tunayoyaona kwa akina Kabila na wa sampuli yake ambao ndio wengi. Oooh, Poor Africa.