F.S
Member
- Sep 5, 2014
- 34
- 26
Kwa kutumia mamlaka liyopewa kwa nguvu ya walio wengi bungeni. Akaamua kuukandamiza utu kwa kuna mjadala wa mwanafunzi zaidi ya 7000 hauna uzito na hauna mashiko.
Huku ni kudharau watanzania. Ni kutumia mamlaka kuwanyima haki watoto wale wa maskini ambayo Rais Joseph Pombe Magufuli mekuwa akiimba kila Leo kuwa anawajali na ndio waliomchagua.
Huu ni unafiki wa hali ya juu kwa watanzania. Eti Tundu Lissu na Bulaya kuliona bunge ni 2017. Hivi ni hiyo kamati iliyowapeleka bungeni au? Naibu Spika ametumia nguvu kuilinda serikali. Kitu ambacho ni udhalimu kwa watanzania waliowachagua wawakilishi wao wawakilishe bungeni. Leo wanaambiwa wasihudhurie vikao kwa kutetea bunge kuonekana live. Ubabe huu wa Museven mnataka muujaribu na huku?
JPM Sijui tunakoelekea kama ni salama.
Nidhamu ni muhimu sana ika sidhani kama hiyo ni njia bora ya kutengeneza hilo. Kanuni zipo na zitumike kuleta nidhamu kwa usawa.