Towashi wa 2
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 341
- 240
Wakati mwingine tusikandae mambo kikada tuwe kitaifa.Kwa hiyo Rais Magufuli kulialia kwake huko tu tayari kumeshamfanya awe Rais Bora.
Mbona hazungumzii mshahara na Marupurupu ambayo hayatofautiani na ya mtangulizi wake anayopewa?Maana aliahidi atatoa nyaraka za malipo yake baada ya likizo yake fupi ya pasaka
Amiri Jeshi Mkuu anayelalama lalama barabarani kwa kumlalamikia mtangulizi wake anaonyesha udhaifu mkubwa sana
Inamaana hata suala la Sukari alirithi kwa Utawala wa JK?
Suala la kudhoofisha bunge kama chombo cha kuisimamia serikali alirithi kwa JK?
Kama hana Unafiki ni kwanini anafumbia macho suala la Bunge maana mtu asiye na chembe ya Unafiki anapenda mambo yawe wazi
Unasema eti bunge kuonyeshwa live humaliza muda wa wananchi ,mbona yeye alikua akihutubia akiwa Live TBC?
Kama huu sio unafiki basi labda sijui maana ya Unafiki
Kama yeye yupo real arejeshe Rasimu ya Wananchi tulijenge taifa upya tutatue matatizo kimfumo once and for all.
Kulalamikalalamika kwake huko hakumfanyi kuwa Rais Bora
Nimemshangaa eti anawaambia wanafunzi wasifanye siasa au wasitumiwe na wanasiasa wasubiri wamalize Chuo.
Wiki iliyopita Huyo Mzee wake JK ambaye ni Mwenyekiti wa CCM alikua akiwasifia Wanafunzi wanaounda Shirikisho la Vyuo Vikuu wa CCM .Leo Rais Magufuli anasema mengine
Halafu kuna wanafunzi wanasoma political Science sijui alimaanisha nini.Wakati Mwingine tusisifie vitu kishabiki tu.Tufikirie kwa kina.Ndio maana Babu wa Loliondo na Upatu wa DECI walitukomesha.
Kweli Unafiki ni kitu kingine
Endelea kulia lia MKUU mwanaume kazini.Nadhani tumepata rais mbovu kuliko wote tangu nchi hii iumbwe. Aliposema hatosoma hotuba yake na badala yake atapiga hivo hivo niliwaambia niliokaa nao subirini vituko
JK ni mtu wa watu na kipenzi cha watu ,nani asiyekosea?teh teh teh.
Uzuri wa Kikwete hakuumbwa na aibu, hata umpige madongo hadharani anaishia kucheka cheka tu, kesho yake akimwalika hata kwenye kamsiba ka mtoto wa balozi wa nyumba kumi anatia timu tena kwa mbwembwe zote.
Huyo ndio JK mswahili pure......
Barabara[/QUOTE]Barabara.wanafunzi. wafanyikazi hewa .mikataba mibovu .uwindaji haramu wizi wa mali ya umma .upendeleo ktk ajira na vingine vingi vimefanywa na viongozi wa Ccm. Rushwa katika kila sekta wahusika ni wanaccm. Na Mh Raisi wa Ccm anawatumbua wanaccm.anaacha kukamua majipu angekamua kiini chake no kijani kabisa. Maana kimeshazoeana na mwili. Kilikuwa hakitegemei Magu. La Pronto, post: 16379281, member: 132559"]Du... Sa iv nmetoka kununua viaz, kilo sh 1500, wakat last week ilikua buku
Waliimba tutaisoma, naona ndo tumeanza!
uharo mtupu"Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila kupepesa macho, kweli Rais tunae, hana chembe ya unafki, sasa ninazidi kumwelewa na niko tayali kumuunga mkono hata nikikosa sukari maana najua kutoka moyoni anatuwazia mema.
Nashauri tu asiyetaka kumwelewa Rais kwa sasa ahame tu nchi maana ni kama wiki sasa naona akina Ben Saanane wamekazana kumdhihaki, kama mnadhani watanzania tunahaja na Rais anayejua kuzungumza kingeleza kwa ufasaha basi tungeenda kumchukua mwingeleza atuongoze, go JPM go wataelewa tu.
Gari likitanua likaingia kwny barabara ya BRT Polisi likamateni lipelekeni Kituo cha polisi kesho akija kulichukua alikute hakuna Matairi Ili akili imkae sawa- Rais Magufuli
Wote wabovu ila afadhari Kikwete
Wapi humo viazi kilo 1500.?? Hiyo bei nmeisahau viazi kilo 2500. Maisha yamezid kua magumu. Hela zimewekwa tu hazina hazpo kny mzunguko. Masikin tumetoa ulimi nje kuhemea juu juu. Ngosha anakazana na majipu huku wananchi 2naangamia. Anapiga 2 makelele n kuonesha undavalization[/QUOTE]Barabara
Mbumbumbu haeleweshwi mtaendelea kumkebehi magu mpaka mwisho wa maisha yenu lakini nchi itabakia mikononi mwa ccm
Mbumbumbu haeleweshwi mtaendelea kumkebehi magu mpaka mwisho wa maisha yenu lakini nchi itabakia mikononi mwa ccm
True Kikwete alichukia ile kauli na ni nadra kumuona Kikwete kukasirika. Ila JPM hakufanya sawa ile kauli mbaya tena mbele ya wasomi, not good.Wakati maguful anaongea hiyo kauli, mzee kikwete hakucheka that means hajafurahishwa na alichonena maguful bt hata ethics zao cdhan kama atakua sahih. pili ukishasema mapnguf yake yatosha c vyema kuyadhihirisha kwenye kadamnas aise.
My take.
Kiongoz anayelalama kwenye majukwaa hatotufikisha mbali coz takuja elemewa mbelen
Vs mtazamo wang