eti msafara wake ulipokelewa na mkuu wa mkoa wa dsm, mkuu wa polisi na mkuu wa majeshi....nahamu kama vile walipofika ikulu mkuu wa majeshi angemwambia kikwete kua enough is enough, its time to step down and call a general election..maana mpaka 2015 watu wengi sana watakua washapoteza maisha yao