Rais inabidi awe mkweli kuhusu Makonda na nchi kwa ujumla

visidady

Senior Member
Jul 12, 2015
157
68
Salaam wana jamvi

Mm huwa sipendi kuandika nyuzi sana lakini imebidi niandike

Inabidi Raisi au wasaidizi zake waseme kwann makonda bado ni mkuu wa mkoa wa dar, haya yote yanayosemwa hayasikii au hataki kuyasikia au ni nn anakitegemea kutoka kwa makonda

Makonda ameonyesha dhairi kuwa sio mtu makini na sio mtu sahihi wa dar

Na hili tena la Mh Nape inaonyesha kama Mh Raisi anataka kuendesha nchi kama personal property , kupingwa n jambo la kawaida na kama hapendi kupingwa inabidi ajiuzuru kwa sababu ataendelea kupingwa mpaka atakapo toka madarakani kama haya anayofanya raia hawayapendezi,CCM hayaeapendezi anayafanya kwa ajiri ya nani

Tanzania ipo katika hali mbaya kuwai kutokea tanzania , leo watu bado hawajaajiriwa, mishaara bado haijapanda, na hili tena la kupeleka na dr kenya sidhani waasisi wa tanzania kama hili lilikuwa lengo lao
Nawasilisha my deep though hili niwe huru

One love TANZANIA
**NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE**
MKULE ANAITAJI SPEED GOVERNOR

Bado tunampenda na bado tunaamini ndie**MTU SAHII KATIKA TANZANIA KWA SASA*http://
 
Bado tunampenda na bado tunaamini ndie**MTU SAHII KATIKA TANZANIA KWA SASA*
Kama bado mnampenda kulalamika kwa nini? Mapenzi niue babu weee! Anatutengenezea mashujaa. Watu tulikuwa tunamnaga Nape wakati wa bunge bubu, leo amekuwa our hero. Shujaa karibu kwenye vijiwe tupange yakwetu.
 
Salaam wana jamvi

Mm huwa sipendi kuandika nyuzi sana lakini imebidi niandike

Inabidi Raisi au wasaidizi zake waseme kwann makonda bado ni mkuu wa mkoa wa dar, haya yote yanayosemwa hayasikii au hataki kuyasikia au ni nn anakitegemea kutoka kwa makonda

Makonda ameonyesha dhairi kuwa sio mtu makini na sio mtu sahihi wa dar

Na hili tena la Mh Nape inaonyesha kama Mh Raisi anataka kuendesha nchi kama personal property , kupingwa n jambo la kawaida na kama hapendi kupingwa inabidi ajiuzuru kwa sababu ataendelea kupingwa mpaka atakapo toka madarakani kama haya anayofanya raia hawayapendezi,CCM hayaeapendezi anayafanya kwa ajiri ya nani

Tanzania ipo katika hali mbaya kuwai kutokea tanzania , leo watu bado hawajaajiriwa, mishaara bado haijapanda, na hili tena la kupeleka na dr kenya sidhani waasisi wa tanzania kama hili lilikuwa lengo lao
Nawasilisha my deep though hili niwe huru

One love TANZANIA
**NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE**
MKULE ANAITAJI SPEED GOVERNOR

Bado tunampenda na bado tunaamini ndie**MTU SAHII KATIKA TANZANIA KWA SASA*
Ukiacha maradhi yakachukua muda mrefu bila tiba hata dawa yake inapopatikana huwa inaufanya mwili usikie kama ndio maradhi yameongezeka zidi baada ya kunywa dawa na kupona huchukua muda pia..juzi tu CCM hao unaowasema hawapendezwi walipitisha mabadiliko ya katiba yao, cjui kitendo hicho kwako ndio hawapendezwi na yanayotokea..unaongelea mishahara na ajira mbona huongelei kama kuna tija imeongezeka kwenye shughuli za uzalishaji nchini, wewe tathimini yako ni kipato tu huna habari na uzalishaji km upo umepanda au umeshuka..kutoa ni moyo sio utajiri, nchi nyingi maskini zinaposaidiwa na nchi nyingine si kweli kuwa wanaosaidia wao wana ziada, kutuma madaktari popote penye shida maalum ni moyo wa kushiriki maumivu na wenzio na kusaidiana..kwa nini lkn nchi hii watu ni wabinafsi kiasi hiki???mtu anafikiria yeye na familia yake tu..ndio mwisho wa upeo wake, shida ikimpata mayowe ya kuomba kusaidiwa hayaishi..ndivyo tunavyopaswa kuishi watz???
 
Back
Top Bottom