Pia hata watu kukatwa mapanga,kuwekwa sero na makesi ya uchaguzi, tutasevu hela ya kuendeshe hizo chaguzi, watu hawatapoteza muda kwenda kwenye kampeni, tutawapunguzia watoto wetu kusikia matusi na nk
Siyo zifutwe hadi 2020 mazee. Binafsi napendekeza zifutwe hadi 2025, maana hapo 2020 naona giza tupu. Mkulu amedhamiria kushinda kwa 1000℅ urais, wabunge na madiwani.
Pia hata watu kukatwa mapanga,kuwekwa sero na makesi ya uchaguzi, tutasevu hela ya kuendeshe hizo chaguzi, watu hawatapoteza muda kwenda kwenye kampeni, tutawapunguzia watoto wetu kusikia matusi na nk
Mkuu tunajikita katika point kuwa kwann tunashauri hizo chaguzi zifutwe,
then watakaotupinga nao walete point zao,
finally tutalinganisha upande upi una hoja zenye gharama kidogo manufaa makubwa.......
Hii nchi yetu sote,tushirikiane tuijenge kwa mendeleo ya watz wote bila ubaguzi na kutengana....