afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,986
- 1,585
Ni aibu kuu ktk utawala huu wa awamu ya tano kuambiwa eti " Ni usanii kuwataja viongozi wetu wa serikali vipi kama tungekuwa na Rais wa kuchukua maamzi haraka tungeambiwa ni usanii?".
Sasa imedhihirika ni kweli ile Audio ni ya Mama Wema Sepetu na Steve Nyerere.
Usanii ktk mambo ya kitaifa?
Usanii ktk maisha ya watu?
Usanii kuihusanisha serikali na utetezi wa wanaotuhumiwa kwa madawa ya kulevya?
Tunaomba kama Taifa, Steve Nyerere achukuliwe hatua kali, ikiwezekana anyongwe Hakuna namna.
Unamtaja Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwa usanii wa mambo ya kitaifa? Kwa mambo ya madawa ya kulevya?
Unamtaja Mwigulu Nchemba?
Unamtaja Nape Nnauye?
Uachwe eti ilikuwa usanii?
Hii serikali sasa inaguswa pabaya, ichukue hatua dhidi ya hawa wote walotajwa.
Nitashangaa sana Mwigulu na Nape kuachwa.
Wanapaswa kujiuzulu Au Rais atengue uteuzi wao. Awafukuze kazi.
Labda kama Vita ya madawa ya kulevya ilikuwa ni propaganda. Usanii.
Lakini kama ilikuwa ni vita serious, Basi Rais anatakiwa achukue hatua haraka za kuwawajibisha ma waziri hao na Makamu wake.
Ni kashfa kubwa sana.
Ni doa sana kwa Serikali ya awamu ya tano.
Nasubiri wajiuzulu au wafukuzwe wote walotajwa.