Rais Dr. Slaa akiingia fedha zenu za DECI 98% mnazipata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Dr. Slaa akiingia fedha zenu za DECI 98% mnazipata

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTWA, Oct 28, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Moja ya vitu ambavyo Rais mpya anahofiwa ni zile pesa za watu maskini waliokopa ili wavune kupitia DECI, na serikali ikazificha na haijulikani zilipo.

  Rais Slaa akifika tu ikulu wale mafisadi wa kuiba zile hela watakuwa na hali ngumu sana
  naona matumbo yao sasa moto.
  Na nionavyo mimi ni serikali yenyewe ndo ilikula, na ndiyo maana wanamwogopa Dr. wa ukweli
   
Loading...