Rais dhaifu CCM uchaguzi 2015

Rais dhaifu CCM uchaguzi 2015

hao wote ni maboya tu hakuna hata mmoja hapo....wenye kufaa bado wapo ndani ccm wala hawajitangazi
 
Kwa upande wa CCM,kambi ya Sitta ni wasafi kuliko wengine wanaotaka kugombea U-rais
 
Habari hii iko kwenye gazeti la mtanzania la tarehe 29/0512013, na siasa za gazeti hili mimi huwa hazinishughulishi, kwa sababu inajulikana wazi gazeti linamuunga mkono Lowassa!
 
Back
Top Bottom