daida
Member
- Oct 30, 2017
- 19
- 5
•Kwanza najisikia Faraja kubwa kwa aliekuwa kiongozi wangu KATAMBI (BAVICHA)kunifuata chama cha mapinduzi ambapo mimi nikiwa katibu mwenezi vijana wilaya ya BUKOMBE, 2015 rais alipokuja nilivua magwanda nikamuunga mkono nikajua tu kwamba CHADEMA imekwisha baada ya mzee wa mvi kuingia na rushwa kubwa ndani ya chama.
Nakuja kwenye hoja sasa.
•Incubation stage in revolution,2013-2014- 2015 kulikuwa na sharp criticism angaist the authority and faith is lost in the system, kulikuwa na ukosoaji mkubwa sana dhidi ya serikali na watu kukosa imani na serikali yao, Leo hoja za kuikosoa serikali kama ilivyokuwa awali hakuna sana na watu wamerejesha imani kwa serikali yao, watu wanaweza kusema mbona mikutano ya hadhara haipo umejuaje kuwa criticism hazipo ,hata mikutano ikiwapo akasima Katambi na akasimama Mkumbo na Kafulila tayali hoja za upizani zinaisha ,Bado sijasimama Mimi ambae ndie nilikuwa wa pili kuhama chama nchi nzima baada ya dokta slaa,nikiwa Bukombe hakutakuwa na hoja tena.
•The raise of incompetence leadership, tuliona miaka ya 2007 baraza la mawaziri lilivunjwa kwa kashifa ya ufisadi Richmoood na ESCROW watu walijuhudhuru sana sisi tulioipenda chadema tukajua tayari CCM tumeilegeza, cha ajabu 2015 sababu hii ya kuilegeza CCM ikawa ni sababu ya kuyadhohofisha mabadiliko ndani ya chadema kwa kuwarudisha wale tuliowasema siyo viongozi wazuri eti wawe viongozi wazuri kwa kubadilisha gia angani, hapa hata mwendawazimu alistuka sana, sioni ajabu Machali , Kafulila, Katambi, Mkumbo, Mgwira.
•Atleast one class is in the raise of economy that demand power and authority, tuliona watu wenye fedha zao wakitaka madaraka kwa nguvu ya pesa kama MZEE wa mvi, na kundi lao huku tukijua wazi pesa chafu ikitumika vibaya inahatarisha usalama wa nchi ,rais Magufuli amewazibidi watu wa namna hii sasa hakuna mjinga atatumia pesa hovyo akijua akishinda uchaguzi atazirudisha hiyo imekula kwao naamini uchaguzi wa 2020 utakuwa wa adabu watu hawatadeki lami eti anapita mgombea, pesa itatumika katika misingi muhimu sana, sasa hivi tunaona watu wanaenda mahakamani kwa ufisadi mkubwa, hongera rais kuzima mapinduzi .
•Crisis hii ni vurugu halalishi kama vile maandamano, ulivyosema wewe hujaribiwi ulimaanisha ukweli na ulisema kama wanaandamana watangulie viongozi wa chadema wakafyta mkia , kule KIBITI napo ulipadhibiti vizuri sana mimi nasema Tanzania kuna bongo hakuna kondoo.
MWISHO;MIMI NASHUKUKURU SANA KUKUUNGA MKONO 2015 NIKIWA BUKOMBE BILA KUJALI UTASHINDA AU HUTASHINDA, NA JIMBO LA BUKOMBE LIKARUDI CCM HUKU CHADEMA KUPOTEZA VITI VYOTE VYA UDIWANI 3 NAKUBAKIZA KIMOJA KATI YA KATA 17, LEO CHADEMA MNAJINASIBU MNAFANYA SIASA,?IPI?LEO RAIS WATU WATAJITOKEZA WENGI SANA KUKUUNGA MKONO LAKINI PIA USISITE KUTUTUMIA TULIOHAMIA CCM 2015 UKIONA INAPENDEZA NA INAFAA KWA UTASHI WAKO, SIASA NI MAISHA NA LAZIMA TUIJENGE NCHI YETU KWA MAARIFA YOTE NA TUSEME UKWELI,
•SHUKRANI YA DHATI SANA KWA AMANI MWENEGHOHA KUNIRUDISHA CCM, MUNGU AKUPE AFYA NJEMA SANA MAANA ULILETA USHIDI MKUBWA SANA BUKOMBE, BUKOMBE ILIKUWA NA HISTORIA 2010 KIKWETE KUZOMEWA LAKINI WEWE ULIHAKIKISHA MGOMBEA WA CCM HAZOMEWI KUMBUKA KUMUOMBA MUNGU SANA KAMA UTAUSOMA HUU UZI, SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE.
•CHAPA KAZI MUHESHIMIWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NINAPOKUONA INATOSHA KATIKA MOYO WANGU.