figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Daaa Prof.Maboko prof Mkandala prof Mgaya wazee wa UDSM tuliwaita triple M, wakikuita ujuwe wee ni kwenu Hamna mjadala. Hongera Prof
TBS ni shirika la viwango, wanaandaa viwango na kuvisimimamia. kuwepo kwa bidhaa hafifu inchini kunasababishwa na mim na wew. tbs sio police kulinda kila bidhaa inayoingia, ama kutengenezwa vichochoroni. tuungane mim na wew kuikataa bidhaa fake, tutafanikiwa kuitokomeza.[/QUOTE]Hivi tbs Ina majukumu gani maana kila Leo vitu bandia Na visivyo Na ubora vinaongezeka....???
We acha tu, alisema hizi ni zama za vijana, nashangaa anaendekeza hivi vizeeC ujira umesitishwa na mkulu had hapo badae au ni kwa sis wenye vibachela mh?
Tena kwa upande wa udsm tu hiv vyuo vingine wanasomeshwa namba kwenye teuz au uprosery na udokta wamepata kw kuunga ungaWe acha tu, alisema hizi ni zama za vijana, nashangaa anaendekeza hivi vizee
Hata Mm Nimefikiri Hivyo, Lakini Kwa Kuwa Zanzibar Ji Kama Jimbo La Mlalo Inawezekana Ikawa PromotionSijaelewa! Amemteua naibu katibu mkuu kuwa mkurugenzi? Sio demotion hiyo? .....naona amerudi one step down!
KUmbeeee, nakumbuka kundi flani lilikuwa na ushawishi mkubwa hapo magogoni so wakatumia loop hole hiyo hadi NECTA hadi mama Ndalichako akaenda "masomoni"Profesa Maboko pamoja na Dr. Mporogomyi walishitumiwa katika kipindi ambacho Profesa Ndalichako alituhumiwa kwa kashfa flani hadi akafukuzwa. Inamaanisha Maboko alikuwa sahihi katika kusimamia standards kipindi hicho. Hongera zake.