Hivi ndani ya UKAWA kuna mtu ana hadhi kweli ya kuwa Rais wa nchi?
hizi ni hasira zenu tu. ccm inapendwa hadi basiCcm lazima iwepo kwani wanatumia kila mbinu kubaki madarakani, na si wanakuwepo kwa sababu wanapendwa, not at all.
Hivi ndani ya UKAWA kuna mtu ana hadhi kweli ya kuwa Rais wa nchi?
Ni Ukweli mchungu na usiopingika kwa namna yoyote kwamba mrithi wa jakaya kikwete ni mwanaCCM kindaki ndaki.
Hii inatokana na hali halisi kwamba CCM ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na kuandaliwa kwa muda mrefu tangu utotoni mwao na sasa wako tayari kubeba jukumu zoto la kuwatumikia watanzania.
CCM NI TOFAUTI NA VYAMA VYA UPINZANI AMBAVYO VIMEJENGEKA VIZURI SANA JUU LAKINI UKISHUKA KATIKA NGAZI YA MKOA WILAYA NA VIJIJINI HAKUNA WATU. VYAMA VYA UPINZANI NI VYA WENYEVITI TU. Mbaya zaidi haviishi migororo ya kugombea madaraka na vyeo.
CCM ni lulu. HUTAKI UNAACHA
Gongo zingine bhana, shida. Tuambie nani kapikwa ili awe kiongozi ndani ya CCM. Huko kuna wafanya biashara siyo viongozi. Take note!Ni Ukweli mchungu na usiopingika kwa namna yoyote kwamba mrithi wa jakaya kikwete ni mwanaCCM kindaki ndaki.Hii inatokana na hali halisi kwamba CCM ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na kuandaliwa kwa muda mrefu tangu utotoni mwao na sasa wako tayari kubeba jukumu zoto la kuwatumikia watanzania. CCM NI TOFAUTI NA VYAMA VYA UPINZANI AMBAVYO VIMEJENGEKA VIZURI SANA JUU LAKINI UKISHUKA KATIKA NGAZI YA MKOA WILAYA NA VIJIJINI HAKUNA WATU. VYAMA VYA UPINZANI NI VYA WENYEVITI TU. Mbaya zaidi haviishi migororo ya kugombea madaraka na vyeo. CCM ni lulu. HUTAKI UNAACHA
Ni Ukweli mchungu na usiopingika kwa namna yoyote kwamba mrithi wa jakaya kikwete ni mwanaCCM kindaki ndaki.
Hii inatokana na hali halisi kwamba CCM ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na kuandaliwa kwa muda mrefu tangu utotoni mwao na sasa wako tayari kubeba jukumu zoto la kuwatumikia watanzania.
CCM NI TOFAUTI NA VYAMA VYA UPINZANI AMBAVYO VIMEJENGEKA VIZURI SANA JUU LAKINI UKISHUKA KATIKA NGAZI YA MKOA WILAYA NA VIJIJINI HAKUNA WATU. VYAMA VYA UPINZANI NI VYA WENYEVITI TU. Mbaya zaidi haviishi migororo ya kugombea madaraka na vyeo.
CCM ni lulu. HUTAKI UNAACHA
..tutawavurumisha tu,mbona kata yetu ccm bye bye,je kwenu?....wavurumisheni.ni ukweli mchungu na usiopingika kwa namna yoyote kwamba mrithi wa jakaya kikwete ni mwanaccm kindaki ndaki.
Hii inatokana na hali halisi kwamba ccm ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na kuandaliwa kwa muda mrefu tangu utotoni mwao na sasa wako tayari kubeba jukumu zoto la kuwatumikia watanzania.
Ccm ni tofauti na vyama vya upinzani ambavyo vimejengeka vizuri sana juu lakini ukishuka katika ngazi ya mkoa wilaya na vijijini hakuna watu. Vyama vya upinzani ni vya wenyeviti tu. Mbaya zaidi haviishi migororo ya kugombea madaraka na vyeo.
Ccm ni lulu. Hutaki unaacha
hizi ni hasira zenu tu. ccm inapendwa hadi basi