Rais awakaribisha chakula cha mchana waandishi wa Habari Ikulu ndogo Chamwino

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Rais Magufuli Akiwa katika foleni ya Kuchukua Chakula pamoja na Waandishi wa Habari wa Dodoma Walipoalikwa kwa Chakula cha Mchana na Mhe. Rais Magufuli katika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma. | October 12, 2019.
 
Paskali njooo huku unatafutwaaa, huonekani kwenye matukio muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…