Rais asiye na makuu?

mwambie aende na tabata kwenye msiba wa mzee small
 
Mbona vikofia vyekundu kikao!,,,,,,, na Mkwani myeusi?.....
:spider:😛ound:😛ound:
 
Eti rais asie na makuu??? Kweli???

Ni kweli makuu hana ila anashindwa kutetea kile anachokiamini! Wanamzidi kete kumlazimisha awe na makuu ili wajinufaishe- kama misafara mirefu etc
 
Wote wanaompinga huyu jamaa, hawana lolote zaidi ya Udini. Nyuma ya Pazia ya nafsi zao ndio hilo. Siasa sio ukweli wao.
 
Wewe Kama hajakuvua sijui ,hivi alikuta bei ya sukari bei gani,hivi alikuta bei ya unga shilingi ngapi,hivi alikuta wanaotumia mafuta ya taa Kama nishati hawana uwezo wa umeme bei ya mafuta taa ilikuwa bei gani, deni la taifa kipindi mheshimiwa mkapa anampa Nchi lilikuwa likoje, unavyo post vitu juwa kunamamilioni ya watanzania wanahasira hata ya kula Mtu ,unaupungufu wa akili ,ingekuwa dam tungekuchangia ,
 
Wote wanaompinga huyu jamaa, hawana lolote zaidi ya Udini. Nyuma ya Pazia ya nafsi zao ndio hilo. Siasa sio ukweli wao.

kuna waliompinga Mkapa baadaye wakamkumbuka
 

jihoji vizuri,mada iko kwenye njia ya uchokozi mkuu
 

asante sababu naina umechokozeka bila kujua unatii kiu yangu
 
Huyu ni rais bora kati ya marais waliopita.wachache wanaomchukia wana kijicho tu.hasa ukichukulia kwamba si mmasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…