Rais asiyaogope majipu makubwa kama vile IPTL(PAP)

Si vema sana kujinadi kwamba unatumbua majipu wakati kiuhalisia kuna majipu makubwa ambayo yanaathiri uchumi wetu kila iitwapo leo. Kibaya zaidi wananchi si wajinga na wanajua.
 
Back
Top Bottom