Rais ashikiliwa mateka

Rais ashikiliwa mateka

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,348
Reaction score
26,145
Rais wa Yemen anashikiliwa mateka na Waasi wa Hoath katika makazi ya Rais mjini Sana'a. Hali hiyo inafuatia mapambano makali kati ya majeshi ya Serikali na waasi wa Hoath.

Chanzo: DW Radio
 
maraisi wa miaka hii ni mazuzu yani raisi anatekwa huu ni ujinga wa hali ya juu sana
 
Pongezi kwa 'waasi' hao. Au Lizaboni unasemaje? Likitokea Bongo itapendeza?
 
Last edited by a moderator:
Rais wa Yemen anashikiliwa mateka na Waasi wa Hoath katika makazi ya Rais mjini Sana'a. Hali hiyo inafuatia mapambano makali kati ya majeshi ya Serikali na waasi wa Hoath.

Chanzo: DW Radio

Mkuu thanks kwa taarifa nilidhani magogoni..
 
si alikua ameikimbia ikulu?,kumbe tena alirudi,
hata hivyo walikana kumshikilia mateka na kuwa walikua wanajadili nae,
 
Back
Top Bottom