Utakuwa unamimbaAsee huwa nikiona hayo marangi naskia kichefuchefu....
aisee!Utakuwa unamimba
hata hivyo hajawahi kuvaa mkuu kwa shughuli za kiselikali jaribu kufatilia, hiyo picha ilikuwa kipindi cha kampeni alikuwa kanda ya kusini sema sikumbuki ni mkoa gani, ila sijajua mleta picha ana maana gani kuzileta leo!!!Kumbe tulidanganywa kuwa Rais akifanya ziara mikoani hatovaa sare za chama chake!
Kapime mkuu yawezekana una kitoto tumboni si kawaida.Asee huwa nikiona hayo marangi naskia kichefuchefu....
Asee huwa nikiona hayo marangi naskia kichefuchefu....
Maendeleo siyo mazingaombwe mkuu kwamba you just snap your fingers na vitu vinakuwa. Yanahitaji hardworking, dedication, commitment na stability. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kufumba na kufumbua. Na sisi Watanzania na ulalamikaji wetu huu sidhani kama tutakaa tuendelee. Labda aje masihi atutawale!Bado Series of Movies zinaendelea ......vipi push up????????????vip Tz. ya viwanda???????
vip chuo kikuu cha madini kanda ya ziwa???????vipi maisha ya kati kwa Watz.
Yote hayo ndani ya miezi 9?Bado Series of Movies zinaendelea ......vipi push up????????????vip Tz. ya viwanda???????
vip chuo kikuu cha madini kanda ya ziwa???????vipi maisha ya kati kwa Watz. wote????????????Vipi kuondoa ujinga uliopitiliza,umasikini,maradhi,ufisadi?????????katiba mpya ya wanachi chini ya Tume ya Warioba iliyoondoa Kinga kwa Rais,Tume Huru ya Uchaguzi,Kufuta ukada wa CCM uDC,RC n.k???????au tunapalilia,weka mbolea na kumwagilia maji TU??????????
Nguvu ya Magufuli imewatisha hawa jamaa.Maendeleo siyo mazingaombwe mkuu kwamba you just snap your fingers na vitu vinakuwa. Yanahitaji hardworking, dedication, commitment na stability. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kufumba na kufumbua. Na sisi Watanzania na ulalamikaji wetu huu sidhani kama tutakaa tuendelee. Labda aje masihi atutawale!
Shida ni hakuna Prority wala Scale of Prerefence kwa Taifa..lipi linaanza na lipi lina isha...mambo ni mchanganyiko kama MSETO..na nusunusu...mfano suala la mankotena tu bandari limeshia wapi???????????n.kYote hayo ndani ya miezi 9?
Anyway, nyie politicians know better than I. Naona mkulu ahadi za miaka 10 anatakiwa azitimize in less than a yearShida ni hakuna Prority wala Scale of Prerefence kwa Taifa..lipi linaanza na lipi lina isha...mambo ni mchanganyiko kama MSETO..na nusunusu...mfano suala la mankotena tu bandari limeshia wapi???????????n.k
Asee huwa nikiona hayo marangi naskia kichefuchefu....
Hiyo rangi itatawala watu hopeless kama wewe,sio mimi...Tena usirudie tena kuongea huo upuuzi,...duwanzi wwe.Katpike na ujinyonge kabisa. Maana utaiona rangi hiyo ikikutawala mpaka unakufa.