Habari ya hapa mama ni nzuri!! Habari ya huko utokako? Kwa kweli hiyo level kuifikia siyo leo!!Mkuu hivi unafikiria nn?
Elewa tu kwamba km ilivyokuwa ngumu kasikazini na kusini kukutana, hali kadhalika Tz kuwa km SA labda maisha mengine baada ya haya
Hoja ya nyarandu ni kama maludio ya hoja ya.mzee kolimba....R.I.P.Pale inaposemwa habari usiyotaka kuisikia nalo ni tatizo
Kweli kama wanaojibu hoja za Lowassa ni akina bajaji basi aliyoyasema Nyalandu ya chama kupoteza muelekeo na misingi yake vimethibitika
Huku kwema kiongozi mvua mvua tu,Habari ya hapa mama ni nzuri!! Habari ya huko utokako? Kwa kweli hiyo level kuifikia siyo leo!!