Rais anaposhukuru 'wasomi' Kugombea CCM

Dhaifu huyo.....'NDO LIWALO NA LIWE'
 
kila mtu na criteria na indicators za kupima kile anachoamini kua ni maendeleo cha msingi ni procedure ku arrive kwenye hiyo justification,kwa kusikia tu alichosema kwe tv haikupi data za kutosha ku disqualify alichosema JK,ni ushabik,biasiness na unazi vya kuamsha mijadala isio na tija,i hate ths nonses mbona hamna akili
 
wasomi mbona wapo wengi kama wakina Chenge lakini ni mafisadi wa kufa mtu

Wasomi anaowasema mkweree kuwa wameomba uongozi ni hao Sampuli ya wakina Mukama,Chiligati, Nape na yule mwehu wa Iramba nimesahau hata jina lake eeeeh anaitwa Mwigulu; kwa standard ya kisomo chake ambacho hakukiendeleza baada ya kupata degree ya pass UDSM, yeye hao ndio anaona wasomi!! Wengi wao hicho kisomo chao ni cha kuunga unga kama wakina Nchimbi na wengine wana vyeti vya elimu feki kama wakina Lukuvi , Makongoro Mahanga, Mary Nagu, Norman Sigalla na Pindi Chana!!
 
hivi tuache majungu,wewe na nchemba nani kapiga shule?CV yake na yako ya nani inauza?una first class wewe?acheni kuropoka tu mnyonge mnyogeni haki yake mpeni bwana swala la shule ni vyeti baba sio maneno mengi toa vyako tuone kama hatujakuta hata credit za kuingiz form v ulikosa
 
Niliposikia hayo maelezo nilicheka kwa kifupi CCM itafia mikononi mwa Jk hata kama haitakufa sasa hivi lakini matokeo yoyote mabaya yeye ndie amehusika kwa kiasi kikubwa.
Wakati ccm ina nguvu kwenye nafasi za vikao vya maamuzi vilikuwa vimejaa watu wenye hekima na busara ndio maana waliweza kufanya maamuzi magumu lakini hao wasomi anaojivunia hamna kitu kwanza wengi ni wasomi feki wenye kujipachika udokta,pia wako kwa ajili ya kujikomba ili kupata nafasi za uongozi ndio maana pamoja na usomi wao wameshindwa kukabiliana na matatizo kama ya mfumuko wa bei,ajira kwa vijana,rushwa na hata uvuaji gamba umeshindikana
 
Naona Mwigulu alikuonyesha vyakwake Mkiwa chumbani
 
kwa kuwa wewe una akili kuliko wengine acha kuchangia mijadala yetu .Kachangie ya nyumbani kwako basi.Kwa nini unatukana hovyo?
 
mkuu hii ni sababu kubwa sana kwetu sisi wakwereee
 
Naona Mwigulu alikuonyesha vyakwake Mkiwa chumbani

usikimbilie kejeli na kuuacha ukweli,hebu tafakari kwa kina kwa elimu ulionayo na vyeti vyako una qualify kuhoji usomi wa Mwigulu?haaa haaa haaa najua jibu ni no kilaza wewe katafute credit
 
We mbona una kiherehere? Uliona wapi cheti cha mwigulu nchemba? Unamshambulia mchangiaji hata humfaham elimu yake! Unatakiwa kupigwa ban kwa matusi unayoporomosha humu jamvini
 
usikimbilie kejeli na kuuacha ukweli,hebu tafakari kwa kina kwa elimu ulionayo na vyeti vyako una qualify kuhoji usomi wa Mwigulu?haaa haaa haaa najua jibu ni no kilaza wewe katafute credit

we mbweha hivi unajua unajadili na watu gani humu?
 
"Vibua" ndio wanagombea CCM na wala sio wasomi. They will get the "Ka-bird" type.
 
Elimu niliyokuwa nayo mimi hata muunganishe vyeti vyenu vya ukoo wako na wa Mwigulu hamuwezi kuona ndani!!! Mwenzio nilianzia na First class ya Cambridge Cert. ya point 12 [ anbayo sidhani kama unaelewa maana yake] na nimemalizia elimu yangu kwa kufanya Post Doctoral studies, hopefully utaelewa nilichoandika kwani naona kama wewe umeishia secondary ya kata!!
 
usikimbilie kejeli na kuuacha ukweli,hebu tafakari kwa kina kwa elimu ulionayo na vyeti vyako una qualify kuhoji usomi wa Mwigulu?haaa haaa haaa najua jibu ni no kilaza wewe katafute credit
Naona wewe ni secretary wake, vip leo upo ofisini unatype barua zake nini dada fergusonema ?
 
Last edited by a moderator:

achana na huyu mbweha hajui anafanya mjadala na watu gani
 
aongeze basi na alama ya kalamu na kitabu kwenye bendera ya ccm
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
'
Kama ni rais basi tunaye kwelikweli!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…