Rais anapocheza Mduara Ikuru!


Hassan J. Mosoka

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
657
Likes
22
Points
35
Hassan J. Mosoka

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
657 22 35
Leo nimefuatilia kwa kina sana mjadala kule jukwaa la siasa juu ya Mdahalo wa wapinzani wawili pale ITV ya FM na RH, wasiompenda mh. Mbowe kwa sababu zao walimuita Professional DJ kwa utashi wao wakidhani by that name ingepunguza credibility yake kama politician. katika tafakuri yangu nilienda mbali zaidi ya DJ nikajaribu kufikiri wateja wanaomuingizia DJ kipato.
My Conclusion was, kama Mbowe ni DJ basi mteja wake mzuri ni JK, na hivyo kuashiria kuwa watu hao wawili wamefahamiana siku nyingi ingawa kwa bahati mbaya DJ amezama kwenye siasa anatetea maslahi ya wanyonge na JK ambaye ni mteja ameamua kuendelea kudansi Ikuru huku nchi ikiangamia!!!!!! Sasa sijui anayepoteza credibility kwa umma yupi kati ya hawa wawili.
Nawasilisha kwa wadau
 

Forum statistics

Threads 1,235,361
Members 474,523
Posts 29,220,072