Panga la Yesu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 234
- 20
Tunaomba Mwongozo!
Endapo Itajulikana kuwa Rais kawadanganya Watanzania je wananchi wafanyaje?
Tulimsikia Mhe. Wassira ( Waziri mwenye Dhamana) Naamini alikuwa akizungumza kwa niaba ya raisi akisema mambo ambayo CDM wanayahamasisha ni mambo ambayo Rais hawezi kuyatekeleza, lakini ukienda kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ni Mambo hayo hayo yaliyopo, hivyo tuseme rais aliyatumia kuombea Kura tu angali anajua hayatekelezeki na ss Watanzania tukampa kura zetu tukimwamini.
Inapofika hapo sisi wananchi tufanyeje?
Nawasilisha!