Rais ajae na baraza lake la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais ajae na baraza lake la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jun 29, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  RAISI WILBROAD SLAA/JOHN MAGUFULI POMBE, WAZIRI MKUU MAGUFULI/SLAA, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LUKASI SELELII,WAZIRI WA MAMBOYA NJE PROFESA MWANDOSYA, WAZIRI WA SHERIA HARRISON MWAKYEMBE, WAZIRI WA UCHUMI ibrahimu lipumba, waziri wa madini ZITTO KABWE . waziri wa kazi john mnyika,............................................................endeleza
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hii ni nini mkubwa? mbona unachanganya keki na chunga?
   
 3. L

  Lua JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapa kaka umechanganya banana na fanta.
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ndoto za alinacha!..
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,833
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  yaani hapo umechanganya pilau, komoni, mihogo, chimpumu na soda.
   
 6. k

  kakin Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo ukweli huo ametabiri sawasawa
   
 7. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mental mechanism! It's good to fantasize 'cause it sometimes remove stress
   
 8. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Magamba na CDM wapi na wapi.
   
 9. M

  Msharika JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Rasmi naona umeshavaa mikoba ya sheikh yahya (RIP). Karibu
   
 10. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Aliitwa shehe Haya Sisemi
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mambo ya uchawi na utabiri wa kina shehe yahya hatuhitaki hapa!
   
 12. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimepita tu.
   
 13. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 701
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  ni sawa kabisa kwa kuwa serikali moja haitawezekana tena, kutakuwa na mseto kama zanzibar. hii ni baada ya kutoshana nguvu kwenye uchanguzi wa 2015. 2015 kutakuwa halitete, Ombeni Mungu musiwe wajawazito!
   
 14. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Yaani niko peke yangu lakini nimecheka mpaka basi.
  Thanks mkuu, you made my day maana hii inaondoa uchungu.
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwa jinsi ulivyochanganya madawa hapa kama ni chakula kingekuwa sumu tayari!
   
 16. i

  ibange JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni ndoto njema. tz ina vichwa tatizo vinakosa nafasi. hilo baraza linawezekana utajuaje Mungu anaweza kuisaidia tz hawa magamba wazuri wakapata mwanga wakajiunga upinzani
   
 17. i

  ibange JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hata kenya hakuna aliyeamini kanu ingeanguka. Mambo mengi yatajitokeza tz na like minded folks watajiunga pamoja watachukua nchi. watu wazalendo kama magufuli, sitta, mwakyembe, sendeka nk wanajua ndani ya ccm hawawezi ku realise their dream
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ungepanga ukaeleweka..
   
 19. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Huu mseto unaweza ukatengeneza bomu kubwa sana
   
 20. m

  mfngalo Member

  #20
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi csemi
   
Loading...