Rais Aangua Kicheko

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
13335542_1547106195595898_7448248084457071400_n.jpg
 
JAKAYA sasa magufuli na ujanja wako wote wa kutumbua majipu LUGUMI imekushinda kutumbua? POMBE Hahahahahahaha yaani JK bwana unataka nitumbue nikuabishe
 
JPM ana msize up mkweree kwa kujifanya amemchekesha kumbe anamlia timing ya kutumbua majipu ya vikaragosi wake!!!!
 
JK: Ukikalia majipu tu huwezi kufanya mambo mengine sababu ni mengi sana na mengine mapya yanatokeza kila siku na wewe una mika 10 tu hapa ikulu utatoka kama nilivyotoka

JPM : Hahahhahahhhhha
 
Sijui ni kwanini JPM kwa JK ni full kicheko ..... huwa naona mara nyingi.
 
Kwani panahitajika ufafanuzi mtu akicheka? Yes nimetumia MTU na sio Rais.(nimeeleweka)
 
Back
Top Bottom