HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 6, 2014 #2 Usafiri kafiri
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Sep 6, 2014 #3 Wanawake wanaonewa maana kwa staili hiyo wanaofika mjini ni wanaume tu.
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Sep 6, 2014 #4 Kwa hiyo njia yote kwenye route ya treni hakuna daraja lenye tunnel siyo?Maana kama kuna tunnel hapo ni majanga tu aisee!
Kwa hiyo njia yote kwenye route ya treni hakuna daraja lenye tunnel siyo?Maana kama kuna tunnel hapo ni majanga tu aisee!
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 6, 2014 #5 SNAP J said: Wanawake wanaonewa maana kwa staili hiyo wanaofika mjini ni wanaume tu. Click to expand... Na watoto bila ya kuwasahau
SNAP J said: Wanawake wanaonewa maana kwa staili hiyo wanaofika mjini ni wanaume tu. Click to expand... Na watoto bila ya kuwasahau
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Sep 6, 2014 #6 wepson said: Click to expand... Tunaelekea huko huko kuzaana tunakokazania bila family planning
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Sep 6, 2014 #7 Mungu awalinde na ajali..