aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
Kujenga bandari for billions kwa pesa za mkopo from China then with stupid politics unaishia kupoteza two of the biggest customers wa bandari yako ambao wangekuletea billions kila mwaka,haya Uhuru kishachukua billions hizo za Rwanda & Uganda then TZ kuishia kuongeza vikodi vya simu ambavyo havifikii hata wiki moja ya mapato ya bandari yanayopatikana kutoka hizo nchi mbili ndio ndio ujanja...endeleeni ku support huu upuuzi wa akili za makamasi.
wewe mnyaruanda unataka nini?? upuuzi gani unaongelea?? na nikuambie hako kanchi kenu hakisaiidi lolote juu ya mapato tz. mikoa yetu inamahitaji mazuri tu ya bidhaa nje kuuza na kununua kwahoyo sio lazima rwanda . sisi watz tunahitaji kutengeneza bidhaa zaidi na kuziuza nje ya nchi na sio kutegemea kupitisha vimijzigo vyenu tu. akli yako wewe mgando