Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
SAMIA VS MBOWE HAHA
Mbowe amehasiwa kisiasa, yaani hana tena nguvu za kuendeleza kizazi cha CHADEMA, yaani hana tena tija.SAMIA VS MBOWE HAHA
Haya mura tumesikiaPolitical Martyrdom lingering.
March 20, 2023 Afro writes new history by militancy...
Ramuli chonganishi, au ramuli za ndotoni?Political Martyrdom lingering.
March 20, 2023 Afro writes new history by militancy..
Wote hawamalizagi awamu zao kasoro Mandela ndiyo alimaliza mi 5 aliyoomba. Hata Mbeki walimtokosa awamu yake kwa chagizo za Zuma. Kama kuna ka laana fulani hivi inatembea nao.Hapo kwa Malema ndipo ninapopakubali, jamaa huwa hawakwepeshi.
Yaliyomkuta Zuma yatamkuta Ramaphosa
Nguvu ya umma inaruhusu. Katiba za Afrika ni kama tikiti za daladala.Kwamba Ruto aache kazi? Katiba ya Kenya inaruhusu?
Tafuta mtoto wa nursery school ya english medium akutafsirie wanayoongea Raila na Malema kwenye hizo YouTube ndiyo utajuwa kama ni ramli chonganishi au ramli za ndotoni.Ramuli chonganishi,, au ramuli za ndotoni,,!?
Kama hawapendi Rais kikongwe mbona wamempa kura sasa?Bola Tinubu ameendeleza mila ya Nigeria ya rais mkongwe kutawala nchi; ambayo sasa imechosha wananchi hususan baada ya Bola Tinubu kudhihirisha kuwa ktk umri wa miaka 70 hana kumbukumbu ya mambo ya msingi ya nchi na ya kimataifa na kuzua hofu ni kwa vipi ataweza kuendesha nchi.
Mkuu Proved.Kama hawapendi Rais kikongwe mbona wamempa kura sasa?