Raila Odinga's son, Fidel Odinga is Dead

Gone too early, Candle in the Wind!! Rest in peace Fidel "Castro" Odinga.
 
RIP dogo poleni wafiwa . Wakuu hatupaswi kufanya mzaha kwa issue za binadamu kufariki irrespective of our differences
 
POLE SANA COMRADE ODINGA! However, be careful i can smell political game the same happened to Mr. John Malecela, his sons have been eliminated in order to contain him politically, his now completely surrendered from politics.
 
Ile serekali ya jubilee imejas wauaji kama serekali ya Tanzania sioni ajabu yule presda wao mvuta mibange akishutumiwa
 
Sikujua kuwa watoto wa wapinzani wakifa.basi conclusion ni kuwa wameuwawa!
 
Baba wa familia anarudi 1.00 am nyumbani,wababa mbadilike jamani,RIP Fidelis
 
Hizi habari kwa English zinasema amefia hospitali
ama za Kiswahili zinasema kafia nyumbani sasa
tuamini zipi ?
 
Hizi habari kwa English zinasema amefia hospitali
ama za Kiswahili zinasema kafia nyumbani sasa
tuamini zipi ?

Samahani kwa mkanganyiko huo, lakini alifia nyumbani kwake kwenye chumba chake. Infact ripoti za Radio Maisha huku Nairobi zilisema hapo saa saba kwamba mwili bado ulikuwa kitandani mwake na majesusi walikuwa wakifanya uchunguzi.

Alikufa nyumbani kwake mbali sio hospitalini The Star ilivyoripoti.
www.standardmedia.co.ke/article/2000146712/police-begin-tracing-fidel-odinga-s-last-moments&source=s&q=Fidel+odinga
 
Fidel Raila Amolo Odinga (41) alirejea nyumbani kwake mtaa wa matajiri wa Kareen Nairobi alfajiri ya leo (sunday) , akiwa anatokea matembezini .

Habari zinasema , huko viwanjani alikua na baadhi ya marafiki zake .

Alifika nyumbani kwake na kulala , ambapo asubuhi amekutwa kitandani while already passing away .

Hadi muda huu si familia wala serikali iliyokwishatoa coz of death .
CID Polisi na Madaktari wanaendelea na uchunguzi .

Mhe. Raila na mkewe Ida walijaliwa kupata watoto wanne boys wawili :
1. Fidel
2. Raila Junior
With two gallz
3 . Rosemary
4. Winnie .

Katika uhai wake Fidel alikua mfanyabiashara maarufu billionear moja ya mali alizoacha ni Hotel ya hadhi ya 4 star iliyopo Kisumu yenye value ya Ksh 950 mil , aidha mke wake wa Kwanza alimuoa Veronica Wanjiru (mkikuyu) ndoa ambayo ilimjengea jina Babaake (Raila) kipindi fitina za ukabila baina ya wakikuyu na wajaluo zilipokua zinagusa chaguzi za serikali .

Hakuishi sana na Wanjiru , ambapo waliachana na akumuoa Binti wa Kiithopia Lwam Gatechew Bekele .
 
Tumia akili Jo jiongozi la upinzani litaua masheikh ili iweje,common sense is common in a common man
 
Back
Top Bottom