Hizi habari kwa English zinasema amefia hospitali
ama za Kiswahili zinasema kafia nyumbani sasa
tuamini zipi ?
Chacha Wangwe alifanywa nini na chama ch.....!!Hujanielewa.Kuuana katika siasa si jambo jema lakini limekuwepo miaka nenda miak rudi na haliwezi kwisha.
Kwani Kolimba alifanywa nini na chama cha magamba?
Je,hizo si gharama za siasa japo ni mbaya na hazikubaliki?