Raila Odinga hawezi kushinda Uraisi Kenya, na hii ndiyo sababu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Uhuru Kenya ana hela ndefu sana, Kundi lake yaani Wakikuyu ndiyo wengi nchini Kenya na hawawezi kupigia kura kundi la Jaluo hata siku moja, kundi la Uhuru Kenya ndilo lenye fedha ndefu!

Kundi la Uhuru Kenya ndiyo walioshika nchi Kiuchumi, na hii ni kwa muda mrefu ni kama vile Mzungu alipoondoka aliwakadhi nchi na wapo kila sehmu kuanzia Usalama, Benki, mpaka kwenye Matatu, hivyo Raila Odinga kulishinda hili kundi anahitaji miujiza ya Musa, ...
 
Uhuru Kenya ana hela ndefu sana, Kundi lake yaani Wakikuyu ndiyo wengi nchini Kenya na hawawezi kupigia kura kundi la Jaluo hata siku moja, kundi la Uhuru Kenya ndilo lenye fedha ndefu ni kama Wachaga Tanzania sema Tanzania kwa bahati nzuri Wachaga hawana namba na ndiyo maana chadema haiwezi kushinda uchaguzi Mkuu zaidi ya kuambulia Wabunge huko KLM!

Kundi la Uhuru Kenya ndiyo walioshika nchi Kiuchumi, na hii ni kwa muda mrefu ni kama vile Mzungu alipoondoka aliwakadhi nchi na wapo kila sehmu kuanzia Usalama, Benki, mpaka kwenye Matatu, hivyo Raisl Odinga kulishinda hili kundi anahitaji Miujiza ya Musa, ...
Jamii ilioshika uchumi Tanzania ni Wahindi na siyo hao wapiga porojo uliowataja. Wanazidiwa hata na Wakinga au Wapemba, sema wana kelele nyiiiiingi kama kasuku baada ya kupata hela ya kitimoto
 
Ila mnajua kujipromo, labda hamjui kuna wenzio wako kimya ila wapo vizuri!
 
Jamii ilioshika uchumi Tanzania ni Wahindi na siyo hao wapiga porojo uliowataja. Wanazidiwa hata na Wakinga au Wapemba, sema wana kelele nyiiiiingi kama kasuku baada ya kupata hela ya kitimoto
Ukitaka kujua wachagga wananguvu ya ki uchumi, angalia kwenye kila biashara wapo, kuanzia kushona viatu, kuchoma nyama, kilimo mpaka viwanda. Almost population yote iko kwenye game, usidharau hao watu wana influence kubwa, ila watanzania wenye asili ya Asia, wahindi na waarabu wako vizuri pia pamoja na wakinga, ila hawako kwenye kila biashara, so nivizuri sisi makabila mengine tujifunze.
 
Back
Top Bottom