Raila Odinga Asalitiwa na Viongozi Waandamizi wa NASA

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Jana baada ya Viongozi waandamizi wa NASA kushindwa kuhudhuria kuapishwa kwa Raila Odinga imedhihirika wazi walifanya hivyo kwa makusudi..
Akiongea na vyombo vya habari mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi nchini Kenya Fred Atwoli amemuita Kalonzo Musyoka msaliti mkubwa. Kalonzo alikuwa aapishwe kuwa Makamu wa Raila lakini alishindwa kuhudhuria hafla hiyo.

Lakini Kalonzo ,Moses Wetangula na Musalia Mudavadi wamesema wao walinyang'anywa walinzi halafu wakazingirwa na maafisa usalama walipokuwa wakifanya kikao kwamba hicho ndicho kiliwafanya wasifike. Source ni DW leo mchana)
 
Mkuu sikia hiyo clip ya Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi Kenya ambaye alikuwa akimuunga mkono Raila Odinga
 
Nilikuwa kwa gari ngoja nikaifanyie kazi. Aisee hivi ingekuwa hapa bongo huyu mwenyekiti angekuwa wapi muda huu?
 
Back
Top Bottom