Kipindi nipo mdogo tulikuwa tunaambiwa kuwa Raisi hata simu huwa hagusi. Wala pesa. Ila huyu ananyanyua simu muda wowote anapigia shirawadu au diamond akiwa kwenye shoo alafu unasema kuna Taasisi apo.Wanamtafuta kwa maswala binafsi au ya kiofisi? Kama ni masuala ya kiofisi, rais ni taasisi hivyo wawasiliane na ofisi. Tatizo hao wamezichukulia nchi zao kama mali binafsi.
Mkuu media zinazotumia magazeti na mitandao zinauza story kwa heading vinginevyo utabaki na gazeti au kabrasha lako.Hiyo title umeandika kishigongo kweli kweli
Aliunga juhudi kimkakati.Raila naye sijuhi nani alimshauri wasaliti wafuasi wake na kwenda "kuunga mkono juhudi"
Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Kumbe huyu naye anatumika na mabeberu
Jr[emoji769]