Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye ni Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa ana PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong babaWanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Kagame. Vipi?Katu Rais Magufuli hawezi na kamwe hatapokea ushauri wowote kuhusu ulinzi na usalama wa nchi yetu kutoka kwa viongozi "WAPUMBAVU"
wajerumani watakuwa walifanya kitu alipokatiza mitaa yaoShida ni kwamba hata akishauriwa hakubali yeye kila Ushauri anasema unatoka kwa mabeberu
Magu bana! eti amepeleka maabara sample. ya mapapai kupiima covid- 19Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye na Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa and PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong baba
Huyu Raila anaota,Magufuli huyu ambaye ni Rais wa JMT ni tofauti kabisa na Magufuli yule uliyemfahamu before akiwa waziri,Huyu wa sasa ana PhD ya kila kitu,kila idara na kila sector ya maisha,Labda uwe zaidi ya malaika Gabriel ndo una weza mshauri otherwise you got it wrong baba
Hajui kuwa huyo anapaswa kusifiwa na kupongezwa tu.Si alishasema hapangiwi wala haingiliwi, ukifanya ivyo ndio unaharibu kabisa
#SABCNews...MiCCM mijinga🐖Sarah kimani amekuwa Raila? Au anatafuta bwana Tanzania maana kenya nzala tupu
Japo Raila ni rafiki mkubwa wa JPM, lakini inaonekana hajamfahamu vizuri. Washauri wa JPM wameshakata tamaa. Baada ya kumshauri na ushauri wao ukapotezewa, wameamua kuwa kimya wamwache afanye anavyoona yeye inafaa.Paukwaaa...pakawaa ilitakiwa awe wazi ni katika mambo yepi hasa
Laiti angejua kwamba hashauriki...Wanajukwaa,yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
Wachukua sample akina Bashite na PolepoleMagu bana! eti amepeleka maabara sample. ya mapapai kupiima covid- 19