Kenya 2022 Raila Odinga aanza kuibadili Kenya

Kenya 2022 General Election

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,215
3,587
Kupitia Deep State, Raila aliishauri serikali iondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuja na CBC (Competency Based Curriculum) ambayo ni 233333. Hii iliasisiwa mwaka 2017 baada ya maridhiano yaliyoongozwa na Magufuli PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke . Tz pia miaka mitatu nyuma tulianzisha CBC (Ufundishaji Mahiri) lakini Walimu hawajapewa mafunzo yake kwa kukosa bajeti. Ikumbukwe Walimu Tz ni 49% ya ikama ya watumishi wote Tz, hii inawezakuwa kikwazo cha mafunzo hayo kutofanyika.

1652956709791.png
 
Back
Top Bottom